VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,140
- 18,004
hahahha hii ni koboko kha!Mwisho wa juma umefika. Juma hili,rafiki yangu mmoja,Mwalimu wa Mzumbe Sekondari,alitumia sh. 7000 kwenda kwa Mkurugenzi wa Elimu Mkoa wa Morogoro kudai sh. 3000 aliyokatwa kilazima kuchangia mbio za Mwenge. Wewe je?
Mwisho wa juma umefika. Juma hili,rafiki yangu mmoja,Mwalimu wa Mzumbe Sekondari,alitumia sh. 7000 kwenda kwa Mkurugenzi wa Elimu Mkoa wa Morogoro kudai sh. 3000 aliyokatwa kilazima kuchangia mbio za Mwenge. Wewe je?
Mzumbe inasimamiwa na Wilaya ya Mvomero...