hv zile game za kununua playstore hakuna means yoyote ya kuzipata free km kwnye pc?
yani kama imefika stage hata hujui namna ya kuzipata free basi kuinstall litakushinda,
unajua file manager ni nini? unaweza kuhamisha mafile kutoka folder moja hadi jengine? kama unaweza nenda torrent yapo kibao hayo magame.
yani kama imefika stage hata hujui namna ya kuzipata free basi kuinstall litakushinda,
unajua file manager ni nini? unaweza kuhamisha mafile kutoka folder moja hadi jengine? kama unaweza nenda torrent yapo kibao hayo magame.
file manager naijua ila naitumiaga mara chache sana,na kuhusu kuhamisha files sijawah kujaribu ila najua kukopy na kupaste, nasubiria maelekezo chif
ukiingia kwenye file manager kwenye phone memory utaona folder limeandikwa android ingia humo.
utakuta sub folder mbili
-data
-obb
kama obb halipo utatengeneza folder linaitwa obb.
unapodiwnload game la kulipia bure kama san andrea unadownload vitu viwili data na apk. mfano ndo umeenda torrent ukasearch ukalipata ukalidownload basi litakaa kwenye folder la downloads. wewe utafungua file manager utaenda kwenye downloads then gta san andrea utacopy mafile ya data kisha utaenda kuyapaste kule kwenye obb then utarudi utainstall apk.
hapo umemaliza kazi game litafanya kazi.
sema kuna baadhi ya games zinahitaji simu uwe umeroot na kuinstall cracked playstore
af hapo kwenye kuroot na kuinstal cracked playstore panakuaje mzaz, na2mia s3
gta sa uliinunua au?
hapana mkuu nilidownload kutoka 4shared nikainstall
na inapga mzgo fresh tu? Unatumia android? Em nipatie ful webstite ya hyo 4shared
naam ni android mkuu nayotumia,inapiga kazi vizuri kabisa,copy and paste hii kwenye address bar
http://www.4shared.com/rar/10U5-XJxce/DATos_sd_-_GTA_San_Andreas_v10.html?locale=en