Tuseme tu ule ukweli sasa!!!


Seneta Wa Mtwiz

Seneta Wa Mtwiz

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2013
Messages
2,142
Likes
1,476
Points
280
Age
27
Seneta Wa Mtwiz

Seneta Wa Mtwiz

JF-Expert Member
Joined Sep 23, 2013
2,142 1,476 280

WAKUU,

KAMA WEWE MI MSELA, UNAISHI GHETTO
HALAFU UNATANDIKA KITANDA KINANYOOKA KAMA RULA,
UNAPIKA WALI LAINI,
UNAUNGA MBOGA NA NAZI,
UNADEKI GHETTO NA TAMBARA LA DEKI HADI GHETTO LINANG'AA,
NA UNA BOKSA ZA RANGI NYEUPE NA PINK,

HALAFU UNAOSHA VYOMBO NA KUSUGUA MASUFURIA NA STILI_WAYA KABISA,

HALAFU UKIPIGIWA SIMU UNAPOKEA UNAONGEA UKIWA UMEIBANA BEGANI NA UMEPINDA SHINGO,
HUKU UMEKAA KWENYE KIBAO CHA MBUZI UNAKUNA NAZI!!!

AISEEEEEE!!!
USITEMBELEE KIJIWENI KWETU,
HATUTAKUELEWA KABIIISAAAAA!!!

NA HUFAI KUOA UWE NA MAHARI YA *MILIONI 900 AMBAYO INGEPENDEZA!!!*

-----
KAMA UMEMAINDI NJOO TUPIGANE,
NIPO MTWAAAARAAAA-
@NANGWANDA_SIJAONA.

(NIMETUMWA NA DR. LUIS SHIKA).


 
stickvibration

stickvibration

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2017
Messages
2,400
Likes
3,607
Points
280
Age
45
stickvibration

stickvibration

JF-Expert Member
Joined Feb 7, 2017
2,400 3,607 280
Unaonekana ww ushazoe kulelewa kimama mama tu upo hom tu
Hujawahi kutoka wala kupambana na maisha nje na kwenu
 
Jitu jeusi

Jitu jeusi

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2015
Messages
1,296
Likes
1,531
Points
280
Jitu jeusi

Jitu jeusi

JF-Expert Member
Joined Oct 18, 2015
1,296 1,531 280
Haya bwana
 
B

bhututu

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2016
Messages
436
Likes
261
Points
80
B

bhututu

JF-Expert Member
Joined Sep 14, 2016
436 261 80
Ha ha ha ila ukweli mwanaume unawezaje kufanya hayo yote?!!
 
Seneta Wa Mtwiz

Seneta Wa Mtwiz

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2013
Messages
2,142
Likes
1,476
Points
280
Age
27
Seneta Wa Mtwiz

Seneta Wa Mtwiz

JF-Expert Member
Joined Sep 23, 2013
2,142 1,476 280
Unaonekana ww ushazoe kulelewa kimama mama tu upo hom tu
Hujawahi kutoka wala kupambana na maisha nje na kwenu

MKUU,

KWANI KIPENGELE CHA KUAMBIWA UKWELI KINA TATIZO SANA KWAKO??
 
Seneta Wa Mtwiz

Seneta Wa Mtwiz

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2013
Messages
2,142
Likes
1,476
Points
280
Age
27
Seneta Wa Mtwiz

Seneta Wa Mtwiz

JF-Expert Member
Joined Sep 23, 2013
2,142 1,476 280
souljah meditater

souljah meditater

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2012
Messages
2,096
Likes
1,922
Points
280
souljah meditater

souljah meditater

JF-Expert Member
Joined Oct 15, 2012
2,096 1,922 280
Duh Mwanaume kamili hawezi kufanya hayo yote
 
KakaJambazi

KakaJambazi

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2009
Messages
15,959
Likes
4,292
Points
280
KakaJambazi

KakaJambazi

JF-Expert Member
Joined Jun 5, 2009
15,959 4,292 280
Kwan wanawake hayo mambo wamesoma wapi, au ni kujiendekeza tu eti huwezi!?
 
Sakayo

Sakayo

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2015
Messages
35,660
Likes
103,560
Points
280
Age
30
Sakayo

Sakayo

JF-Expert Member
Joined Sep 10, 2015
35,660 103,560 280
Sasa kama unaishi mwenywe inakuwaje!!
 
Seneta Wa Mtwiz

Seneta Wa Mtwiz

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2013
Messages
2,142
Likes
1,476
Points
280
Age
27
Seneta Wa Mtwiz

Seneta Wa Mtwiz

JF-Expert Member
Joined Sep 23, 2013
2,142 1,476 280
Kwan wanawake hayo mambo wamesoma wapi, au ni kujiendekeza tu eti huwezi!?

NI MAMBO YA HOVYO KWA MWANAUME KUYATEKELEZA KAMA MFUMO WA MAISHA!!!
 
Tajirimsomi

Tajirimsomi

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2017
Messages
4,636
Likes
4,737
Points
280
Age
48
Tajirimsomi

Tajirimsomi

JF-Expert Member
Joined Jan 12, 2017
4,636 4,737 280
We uliwaonaje kwa mfano na uliwawazia nn
 
P

pilato93

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2014
Messages
2,991
Likes
1,683
Points
280
P

pilato93

JF-Expert Member
Joined Jun 28, 2014
2,991 1,683 280
Ukikua huo mgando utakutoka kichwani
 

Forum statistics

Threads 1,214,685
Members 462,829
Posts 28,519,806