Tusaidiane; nina shida kujaza form ya SUA

Tusaidiane; nina shida kujaza form ya SUA

Ti Go

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2012
Posts
1,062
Reaction score
1,087
Nimefanya kosa wakati wa kujaza form ya sokoine university, nime-submit kabla sija - upload copy ya vvyeti vya f4 na f6. Sasa nikijaribu kuedit ku-upoad inagoma na kusema no file selected. What should I do?
 
Sijui huwa mnaharaka gani? Wahenga wanasema harakaharaka haina baraka!!!

Kwa kawaida ukisha submit huwezi Fanya mabadiliko ya aina yoyote labda jaribu kuwasiliana nao
 
No, kuna maelezo yanapita yanasema unaweza ku-edit. Naongelea ya SUA
 
Pole sana. Nakushauri wasiliana jamaa wa admission kwa namba 0765997885 au 0692762372 wanaweza kukusaidia. Kila la kheri!
 
Sijui huwa mnaharaka gani? Wahenga wanasema harakaharaka haina baraka!!!

Kwa kawaida ukisha submit huwezi Fanya mabadiliko ya aina yoyote labda jaribu kuwasiliana nao
SUA unaedit hata mara 10, wala haisumbui.
 
Back
Top Bottom