mwananyaso
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 2,843
- 3,128
Fullgence Mapunda ni kijana alietunga nyimbo nyingi za kuisifia chadema anaumwa mahatuti na anatakiwa kupelekwa nje kwajili ya matibabu,lakini zimekosekana pesa za kumpeleka,hivyo baadhi ya wajanja wapiga dili wamejitokeza na kuweka namba za kuchangisha lakini mjuwe kuwa zile namba ni za dada anaejiita Nikiwe Brighton ambae ameona fursa ya kuwapiga wajinga inapatikana hapa.
Mbowe Mungu anakuona unapokea milioni 400 za ruzuku kila mwezi unashindwa kumpeleka matibabuni huyo kijana kweli? Au mnageuzwa toilet paper?
Shtukeni hicho kijikundi cha wapiga dili kitamtibu Halima Mdee na Lema lakini sio nyie mbilimbi za kina Nikiwe Brighton.