Tusaidiane kwa kusema ukweli kwenye issue hii,tukiweka itikadi za vyama pembeni

mwananyaso

JF-Expert Member
Feb 19, 2017
2,829
3,118
Fullgence Mapunda ni kijana alietunga nyimbo nyingi za kuisifia chadema anaumwa mahatuti na anatakiwa kupelekwa nje kwajili ya matibabu,lakini zimekosekana pesa za kumpeleka,hivyo baadhi ya wajanja wapiga dili wamejitokeza na kuweka namba za kuchangisha lakini mjuwe kuwa zile namba ni za dada anaejiita Nikiwe Brighton ambae ameona fursa ya kuwapiga wajinga inapatikana hapa.

Mbowe Mungu anakuona unapokea milioni 400 za ruzuku kila mwezi unashindwa kumpeleka matibabuni huyo kijana kweli? Au mnageuzwa toilet paper?
Shtukeni hicho kijikundi cha wapiga dili kitamtibu Halima Mdee na Lema lakini sio nyie mbilimbi za kina Nikiwe Brighton.
FB_IMG_1565616706649.jpeg
 
Mkuu embu soma ulichoandika Kama unanichanganya?
Mi nilifikiri kuwa hakuna hatua zilizochukuliwa?
Kumbe unalala Mika mgonjwa kutafutiwa namna ya kusaidiwa.
 
Kwanini isiwe account ya chama?,nani ana audit accont ya huyo pesa inayoingia kwake?
Fursa hiyo,kubali kataa
 
Kama hata ruzuku ya chama umeitaja kwa upotoshaji, kilio chako kina ukweli kiasi gani? Andika kwanza hiyo ruzuku kwa usahihi ili bandiko lako lipate uhalali. Halafu nikupongeze hizi ndio siasa tunataka sio kutumia risasi na watu wasiojulikana.
 
alah!,kumbe upo jikoni ufipa,hongera zako mkuu
 
Fullgence Mapunda ni kijana alietunga nyimbo nyingi za kuisifia chadema anaumwa mahatuti na anatakiwa kupelekwa nje kwajili ya matibabu,lakini zimekosekana pesa za kumpeleka,hivyo baadhi ya wajanja wapiga dili wamejitokeza na kuweka namba za kuchangisha lakini mjuwe kuwa zile namba ni za dada anaejiita Nikiwe Brighton ambae ameona fursa ya kuwapiga wajinga inapatikana hapa.
Mbowe Mungu anakuona unapokea milioni 400 za ruzuku kila mwezi unashindwa kumpeleka matibabuni huyo kijana kweli? Au mnageuzwa toilet paper?
Shtukeni hicho kijikundi cha wapiga dili kitamtibu Halima Mdee na Lema lakini sio nyie mbilimbi za kina Nikiwe Brighton.View attachment 1179304
Mbona umeanza kiitikadi? Au mkono umeteleza?
 
Kwahiyo wewe na mama yako, ndio mnatibiwa na CCM au,?
Fullgence Mapunda ni kijana alietunga nyimbo nyingi za kuisifia chadema anaumwa mahatuti na anatakiwa kupelekwa nje kwajili ya matibabu,lakini zimekosekana pesa za kumpeleka,hivyo baadhi ya wajanja wapiga dili wamejitokeza na kuweka namba za kuchangisha lakini mjuwe kuwa zile namba ni za dada anaejiita Nikiwe Brighton ambae ameona fursa ya kuwapiga wajinga inapatikana hapa.

Mbowe Mungu anakuona unapokea milioni 400 za ruzuku kila mwezi unashindwa kumpeleka matibabuni huyo kijana kweli? Au mnageuzwa toilet paper?
Shtukeni hicho kijikundi cha wapiga dili kitamtibu Halima Mdee na Lema lakini sio nyie mbilimbi za kina Nikiwe Brighton.View attachment 1179304
 
Kwanini isiwe account ya chama?,nani ana audit accont ya huyo pesa inayoingia kwake?
Fursa hiyo,kubali kataa
Ikitumika akaunti ya chama kuna watu hawata changia, wengine watachukulia huo mchango ni kwa ajiri ya kampeni za chadema 2020.
 
Fullgence Mapunda ni kijana alietunga nyimbo nyingi za kuisifia chadema anaumwa mahatuti na anatakiwa kupelekwa nje kwajili ya matibabu,lakini zimekosekana pesa za kumpeleka,hivyo baadhi ya wajanja wapiga dili wamejitokeza na kuweka namba za kuchangisha lakini mjuwe kuwa zile namba ni za dada anaejiita Nikiwe Brighton ambae ameona fursa ya kuwapiga wajinga inapatikana hapa.

Mbowe Mungu anakuona unapokea milioni 400 za ruzuku kila mwezi unashindwa kumpeleka matibabuni huyo kijana kweli? Au mnageuzwa toilet paper?
Shtukeni hicho kijikundi cha wapiga dili kitamtibu Halima Mdee na Lema lakini sio nyie mbilimbi za kina Nikiwe Brighton.View attachment 1179304
Kumbe na wewe ni walewale zero brain?
 
Wanachama wote waliolazwa mahospitalini wenye kadi za vyama, ina maana ni lazima vyama vyao viwalipie matibabu? Huyu mwimbaji unayemtaja, nyie wenye vyama unaweza kutuambia nyimbo zake zinaitwaje ile tuzisikilize tupate uchungu wa kutokuwa na itikadi nasi tuchangie?

Umeanza sentensi kiitikadi na ndipo ulipolikoroga. Komba aliimbia CCM mwisho wake ulikuwaje? Jibu. Mzee Makongoro, Mzee Moris na wengine walitibiwa na nani? Tupe data tuanzie pale.
 
Fullgence Mapunda ni kijana alietunga nyimbo nyingi za kuisifia chadema anaumwa mahatuti na anatakiwa kupelekwa nje kwajili ya matibabu,lakini zimekosekana pesa za kumpeleka,hivyo baadhi ya wajanja wapiga dili wamejitokeza na kuweka namba za kuchangisha lakini mjuwe kuwa zile namba ni za dada anaejiita Nikiwe Brighton ambae ameona fursa ya kuwapiga wajinga inapatikana hapa.

Mbowe Mungu anakuona unapokea milioni 400 za ruzuku kila mwezi unashindwa kumpeleka matibabuni huyo kijana kweli? Au mnageuzwa toilet paper?
Shtukeni hicho kijikundi cha wapiga dili kitamtibu Halima Mdee na Lema lakini sio nyie mbilimbi za kina Nikiwe Brighton.View attachment 1179304
Loo kumbe hii ndiyo tabia yako na Roho yako mbaya.Nilidhani ulipoandika wasipewe damu wale waliopata ajali ya moto Morogoro ulipitiwa.Kumbe ndiyo ulivyo kwani nimeona tena hapa ukiwaambia wasichange ili mgonjwa akatibiwe.Acha roho mbaya na na kuambia atakwenda kutibiwa na atarudi mzima ubaki unang'aa macho.
 
Back
Top Bottom