Ndugu itendendee haki hiyo keyboard yako,mbona imebadilika rangi kwa vumbi jekundu.
How To Repair A Corrupted SD Card or USB Flash Dri.mp4 (23.53MB) - SendSpace.com
Download video, hiyo hapo link. Hakika itakusaidia. Ila, elewa kwamba kama drive yako ilikuwa na data,zitafutika, labda badae jaribu recovery
Nikitumia njia ya command prompt inakua hiviWe show you two ways to fix a write-protected USB drive or SD card
How To Disable Write Protection on a USB Key
Personally hyo part ya Diskpat commands works mara kibao
Registry edit pia inanikatalia, na yenyewe ilinigomea kwa flash zote nilizokua nazo.
Nimeijaribu njia uliyoniambia ila flash yangu haionekani miongoni mwa driver zinazoweza kuformatiwa.Leme help you!! Tafuta CD ya windows inayoboot, chomeka flash yako na ujue herufi yake, zima komputa, Fanya kama unapiga windows, ukifika sehemu ya kufomat hDD format hiyo flash yako kwisha habari yake
Yaani nimekutajia jina ni wewe tu kudownload bado hutosheki? Mi mwenyewe hapa nauliza jina tu wala sijataka nigewe tool.
Sikusaidii huna adabu.
[emoji2] [emoji2] [emoji2]
Nakuzingua.
Download hii halafu chagua hiyo || au III iko poa kwa flash zingine zote isipokua kwenye sandisk.