Subiri waje manguli wa hizi kazi unawahi wapi mkuu.Ndugu zangu,...?
Boss mimi nimeomba jina la tool na mimi nikataja jina la tool ninayoitumia so kwa anayeitaka aidownload hata mi nikitajiwa jina nitaitafuta.Na wewe umeupiga ukimya hujataja unategemea na me nikutajie ndugu... piga ukimya na sisi tunapiga ukimya..
Wenzako hadi link ya kudownload wanaweka hapa.. wewe maneno mengi kama mwanasiasa
Mkuu hiyo keyboard mbona ina vumbi sana !! Usafi ni muhimu, kuifuta futa.
Chief nashukuru, ila hii haikunifanyia kazi niliwahi kuijaribu.As you asked turnes out I had it: a "low level formatting tool"
Home Version
YCLY-6XLH-MHT8-3Q2J
Z2VG-D399-9KS3-T5CF
Commerical version
ZAXL-DPVZ-PD49-ATQ5
J6AA-QULA-9NMF-WYV6
hayo mambo sio fani yanguKwahiyo hauna msaada juu ya swala la 'write protection'?
Shukrani wakuu.Leme help you!! Tafuta CD ya windows inayoboot, chomeka flash yako na ujue herufi yake, zima komputa, Fanya kama unapiga windows, ukifika sehemu ya kufomat hDD format hiyo flash yako kwisha habari yake
Hii njia ilinigomea kabisa kwa hata flash za aina nyingine. Ila naona hapo swala ni corrupt wakati mimi ni write protection.How To Repair A Corrupted SD Card or USB Flash Dri.mp4 (23.53MB) - SendSpace.com
Download video, hiyo hapo link. Hakika itakusaidia. Ila, elewa kwamba kama drive yako ilikuwa na data,zitafutika, labda badae jaribu recovery