Tusaidiane katika hili kisheria

Tusaidiane katika hili kisheria

BilioneaPATIGOO

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2012
Posts
12,320
Reaction score
11,341
Tusaidiane katika hili, kisheria inakuwaje haswa katika taasisi binafsi unapopangwa kituo cha kazi ambacho kiko mbali na mhusika aliyepangwa halafu hapewi hela ya kujikimu wala nauli, je sheria ya ajira na mahusiano kazini inasemaje kuhusu hili. Nawasilisha.
 
Umeelewa kilichoandikwa ?
Halafu hio ni statement ama question!?
Acha kazi kuajiriwa ni utumwa simama on your own ukiajiriwa utakufa masikini huwezi kutajirika au kuwa na maisha mazuri kwa kutegemea mshahara
 
Back
Top Bottom