Tusaidiane hapa

Ntazingatia ushauri wako mkuu,,,thanx alot for concer
 
hv ni kwek enhee but axante nimejifunza k2.
 
hapo hakuna hata mmoja anaefaa kuwa mke kwako, kwani ww ndo haufai kuwa mume kwa yeyote isipokuwa una mpango wa kutengeneza watoto wa mitaani, kwanza wanajua kam upo jf??? wanawake wa jf angalieni inaweza mkawa ndo ninyi
 
dogo jirushe kwanza,,, ukifika 30 ndo anza kufikiria hizo habari,,, we kimbilia tuu...utakuja kutuambia yaliyomo.
 
hapo hakuna hata mmoja anaefaa kuwa mke kwako, kwani ww ndo haufai kuwa mume kwa yeyote isipokuwa una mpango wa kutengeneza watoto wa mitaani, kwanza wanajua kam upo jf??? wanawake wa jf angalieni inaweza mkawa ndo ninyi
 
hapo hakuna hata mmoja anaefaa kuwa mke kwako, kwani ww ndo haufai kuwa mume kwa yeyote isipokuwa una mpango wa kutengeneza watoto wa mitaani, kwanza wanajua kam upo jf??? wanawake wa jf angalieni inaweza mkawa ndo ninyi
 
hapo hakuna hata mmoja anaefaa kuwa mke kwako, kwani ww ndo haufai kuwa mume kwa yeyote isipokuwa una mpango wa kutengeneza watoto wa mitaani, kwanza wanajua kam upo jf??? wanawake wa jf angalieni inaweza mkawa ndo ninyi

Asante kwa ushauri murua,,,keep it up
 
Uzi huu ni mgumu...
Soln:
tafuta vijiwe vya kahawa au wacheza bao ukifika wasimulie, then utajua umuoe yupi.. maana mm nilikuwa nao 31 nikashauriwa nikaoa 1tu kati yao
 
Kuna uzi mmoja hukooo... kuna mwanaume kasema wanawake wote malaya.
Naona wanaume wasafi kumbe wapo.
 
Uzi huu ni mgumu...
Soln:
tafuta vijiwe vya kahawa au wacheza bao ukifika wasimulie, then utajua umuoe yupi.. maana mm nilikuwa nao 31 nikashauriwa nikaoa 1tu kati yao
Asante kwa ushauri mzuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…