Ofisini kwako kuna mfanyakazi (jinsia tofauti na wewe) mnaelewana kiasi (wengi wa wafanyakazi haelewani nao), kifupi wanadai ana ‘mapozi' kuna kiharufu kibaya humo ofisini wengi wanalalamika kwa hilo ameitwa mfagizi amefanya aliyoweza kufanya sasa ulipokuwa karibu nae anakuelekeza kitu fulani, umegundua niyeye ananuka kiharufu kikali… utafanyaje na ofisi sio ya mtu mmoja (pull office). Hebu tushauriane niokoe jahazi
sijakuelewa vizuri.
be specific go direct to the point.......
ukituelezea the issue si ndo tuanze kujiput our self in your shoes...
otherwise unless sijakusoma fresh!!!!!!!!!!!
Ofisini kwao kuna mwanamke/mdada ambaye ni rafiki yake anatoa harufu kali kama uvundo wa viazi mviringo vilivyoanza kuoza...
Awali wafanyakazi wa hapo ofisini kwake walidhani labda kuna kitu kimeharibika na kuoaza, wakamtumia mfagizi kufanya usafi lakini hali hiyo haikubadilika...
Baadaye huyu mleta mada binafsi ndio amekuja kugundua kuwa huyo bi dada ndiye chanzo cha hilo vundo hapo ofisini...sasa amekuja hapa jukwaani tumpe ushauri namna ya kumfanyia "Semina Elekezi" huyo Bi mkubwa ili walau hapo ofisini watu waweze kupumua hewa safi ya oksijeni...
hana mtu wa karibu, na hawawezi mtumia mtu wanae mheshim maana anajifanya ana mapozi, asije mtoa mtu mzima nishaitafuta mtu wa karibu kama hana, basi tafuta mfanyakazi mtu mzima mnayemuheshimu amwambie ukweli akichukia sasa ndo mfungieni nje ya ofisi.
:embarassed2:
hana mtu wa karibu, na hawawezi mtumia mtu wanae mheshim maana anajifanya ana mapozi, asije mtoa mtu mzima nishai
ILA na wewe hadi ulete thread huku si tukushauri
huyo mtu si ataadhirika sasa maana mda utakuwa unaenda tu
amwite nje kuongea nae, wakifika nje ajifanye amesahau kitu ndani
Then aingie ndani, amwache huyo dada nje, na wamfungie huko huko
kwa kupitia dirisha wamwambie: dada/kaka you stink! do something about it
huyo mtu si anajifanya wa mapozi? hii ndio dawa yake, akirudi atatulia
Jamani natumaini mko salama kabisa na wale waungwana waliofunga kwa dhati basi rehema za mwenyezi Mungu ziwatangulie na toba zao zisikike. ndugu yenu nina tatizo moja na linakuwa serious kila muda unavyozidi kwenda. Nimeanza kazi mahali sina muda mrefu sana kuna bwana mmoja subordinate kwa level kama 2 chini ananuka sana wakuu, ninashindwa kumwambia na hata wenzake hawamwambii.
Siku hizi ameanzisha mchezo wa kupenda kujifunza kazi sasa muda wote anataka awe pembeni yangu! Ninapata shida hasa, mwanzoni nilidhani alijisahau akajisaidia ndani ya nguo ila naona ni kila siku na hali inazidi kuwa mbaya. Nguo zake kwa nje sio chafu sana ajabu!
Nashindwa kumwambia maana kwanza ni mgeni mimi kisha ni mtu mzima kanizidi umri na mwenye familia yake huko street. Ninahisi nikimwambia atajisikia vibaya sana na atachukia kazi. Anapenda mno kuendesha gari inapotokea kazi ya nje anakimbilia funguo sasa humo ndani ya gari na vioo vimefungwa kwa kuwasha AC ni balaa, mazingira ya kazi ni muhimu kufunga vioo vya gari kila mara, hadi ninahisi nikishuka kwenye gari ninakuwa na mimi nimeambukizwa harufu!
Nifanye nini wakuu?
hana mtu wa karibu, na hawawezi mtumia mtu wanae mheshim maana anajifanya ana mapozi, asije mtoa mtu mzima nishai
This was very bold, hongera sana.Kama unamfahamu vile, yaani wanavyo msema vibaya mimi ndio huwa nakua karibu naye! Anamapozi na dharau sana.
But thanks, nilifanikiwa kumtoa nje kwa kumwambia nina maongezi ya muhimu na haraka tuongee naye then nikamuomba samahani kama nitamkwaza nikamueleza hali ilivyo na kwambo nahisi labda yeye alikalia au kukanyaga kitu kinacho nuka, nikamuomba asirudi ofisini mpaka ajikague kwanza maana watu wanalalamika na hawajastukia harufu inatoka wapi, alipigwa na butwaa na mshituko kidogo, aliniomba nimchukulie mkoba wake. nahisi alijua source ya ile harufu. Hajarudi Nadhani tutaonana nae jumatatu