Kapepa Maswanya
JF-Expert Member
- Jan 3, 2015
- 265
- 107
Wakuu niliomba kuuliza hivi lile bas la Mzee white lililokuwalimeandikwa friends of lowasa ule mwaka Jana wakati wa anatafuta wadhamini ccm liko wap saiz!!!
Iko juu ya mawe inadaiwa mv licence.Nenda kwake ukamuulze.!!
Lile ni basi la kukodi kwenye kampuni fulani na ile rangi ilokuwa imepakwa kimuonekano sio rangi ile ni stika limebandikwa hivyo mkataba aloingia nalo kufanyia kampeni ukiisha wanabandua stika yao gari linaendelea na shughuli za kampuni yake kama mwanzo lilivyokuwa!!Wakuu niliomba kuuliza hivi lile bas la Mzee white lililokuwalimeandikwa friends of lowasa ule mwaka Jana wakati wa anatafuta wadhamini ccm liko wap saiz!!!