Aisaee hiyo lafudhi nzito !! siyo kila mtu aiwezae....!Nyama ya ulimi kila kitu ni 'pole' na 'asante'
Na waiwezao hufaidi mahaba mpaka kwenye kope na utamu huongezeka mpaka kisogoni
Mahaba ya jinsi hii raha yake asali tupu ni kama utamu wa shokishoki
Kwani unaweza kulifreeze shokishoki ? PretaUsikwazike dada shokishoki sio tunda la msimu