habari,wakuu naomba kujua kama kuna anaefahamu kuhusu vifaa au kifaa cha kuzuia dalili/ishara ya simu kuita. maana naona watu hawana ustaraabu kabisa unakuta upo kanisani/msiktini mtu anapokea simu au kupiga zoga huku akiwa yupo kanisani/msikini kupitia mitandao ya kijamii wengine wanasema nipo live kanisani /msikitini nimejaribu ku google google nimepata hii jammers cell phone mwenye ufahamu zaidi afunguke basi
View attachment 169018