Wajaribu tu najua kinawauma pale walipowatuma watu kwenye ile meli ya uchochezi na wakajifanya wababe tisa wakauliwa hasira zao bado hazijaisha na kwenye mahakama ya UN imesema Israel haina hatia walichokozwa na wale waliouwawa ni upumbavu wao tu kutaka kuwanyang'anya silaha wanajeshi na kuwapiga na kuwazuia wasiingie kwenye nchi ya watu kwa visingizio wanakuja kutoa misaada huku hiyo meli haikuwa na hizo bidhaa walizodai wamebeba... Shenz type zao mituruki
Kwenda peponi au motoni pia ni uamuzi wako,ndio mana kuekwa Uhuru wa kuchagua,uchague PEPO AU MOTO. unakotaka kwenda uende.
Wewe ndio wafikiria ulikuwa huna,lakini akili ulikuwa NAYO,ndio maana ulipozaliwa ulikuja duniani,asiyetaka kuja hufa tumboni au hufa mchanga.
Mbona Quran inasema Allah anatoa neema kwa jinsi anavyooenda mwenyewe, na wengine anawafanya mioyo yao iwe migumu makusudi wasimjue?
Unayapinga maneno ya Allah kama yalivyoandikwa katika Quran?
Mbona Quran inasema Allah anatoa neema kwa jinsi anavyooenda mwenyewe, na wengine anawafanya mioyo yao iwe migumu makusudi wasimjue?
Unayapinga maneno ya Allah kama yalivyoandikwa katika Quran?
Link Surat Al-Balad [90:10] - The Noble Qur'an - ?????? ??????Hijajibu swali.
Sura zako hazijibu awali langu, na kama kuna maswali zinayajibu, sijayauliza.
Kwa nini Allah anawapa watu wengine ujuzi wa kimjua yeye kwa neema zake na qengine kuwanyima neema hiyo hata wakimtafuta?
Na kwa kuwa anafanya hivyo, ana haki gani ya kuwahukumu wale ambao yeye mwenyewe kaamua kuwanyima neema ya kumjua?
Huyu Allah yupo kweli au ni stoties tu?
Mbona yuko inconsistent?
Mara ni mungu wa haki, mara anawanyima watu neema ya kumjua na kisha anawahukumu hao hao aliowanyima neema ya kumjua.
Is this a godly character? I would sespise this even in human, let alone an all knowing and all capable godhead.
Does the Allah idea fall under it's own weight?