Uturuki ni member wa NATO remmember that.turkey hawana uwezo kupigana na israel kwasababu kama wangekuwa na uwezo huo wangeshapigana muda mrefu kutetea waislam wenzao. kupigana na israel ni kupigana na israel, marekani and its allies. sasa alies wa turkey wako wapi? si waarabu wachovu tu hao? halafu, suala la jerusalem ambayo ipo israel linaihusu nini turkey? kwanini israel haijaingilia mambo ya turkey? kwa uturuki hiyo ni ndoto ya mchana ambayo haitakuja kutokea. na hii ndio sababu hawakubaliki european union ata kuwa ndani ya ulaya tu na wanaishi bila kujulikana wako bara gani, hawapo ulaya na hawapo arab/asia.
Jiji la Jerusalem litalindwa na Mungu mwenyewe na wala si marekani wala uturuki, kama kuna mwanadamu yeyote anaamini anaweza kufanya chochote dhidi ya mji mtakatifu wa Mungu huyo atageuka mavumbi. al magedon na gogu na magogu vitakuja kujulikana muda si mrefu.
yaani kama wamewafundisha hivi, mtapata shida sana kwasababu ni wrong 100%. nakubaliana na wewe kuwa uturuki ni NATO, lakini haipo ndani ya european union hadi leo hii wanakataliwa kuingia. hiyo ni loss kubwa sana kwao kwasababu wakiwa eu wangefaidika sana kiuchumi na kijamii. hata kama not arab, wanajifanya wazungu lakini sio wazungu, they are more of mediteranian people. na uchumi wao sio mzuri kiviiile, na kijeshi walishatandikana na ugiriki sana wakigombea cyprus hadi wakagawana kisiwa kile, leo northern cyprus ni poorer than africa wakati southern ni modern europe. northern inakaliwa na waturuki southern na wagiriki.Uturuki ni member wa NATO remmember that.
uturuki not arab peoples.
jerusalem sio mambo ya ndani ya israel,it is an ocupied city kwa mujibu wa sheria za kimataifa.
yaani kama wamewafundisha hivi, mtapata shida sana kwasababu ni wrong 100%. nakubaliana na wewe kuwa uturuki ni NATO, lakini haipo ndani ya european union hadi leo hii wanakataliwa kuingia. hiyo ni loss kubwa sana kwao kwasababu wakiwa eu wangefaidika sana kiuchumi na kijamii. hata kama not arab, wanajifanya wazungu lakini sio wazungu, they are more of mediteranian people. na uchumi wao sio mzuri kiviiile, na kijeshi walishatandikana na ugiriki sana wakigombea cyprus hadi wakagawana kisiwa kile, leo northern cyprus ni poorer than africa wakati southern ni modern europe. northern inakaliwa na waturuki southern na wagiriki.
ukija kwenye suala la international law, you no nothing, yaani wewe ni mweupe. which international law are you talking about ambayo inasema israel imekalia makazi yale kinguvu? tell me which one?...unajua kuwa UN inaitambua israel kuwa ni state lakini palestina hadi leo ni authority tu wala si nchi? unajua israel ni member wa UN palestina sio? unajua kama jerusalem ni makao makuu ya nchi inayotambulika na UN? na hakuna hata sheria moja ya kimataifa inayotambua israel as an occupying state.
Mbona data ziko online au hujishughulishi?.yaani kama wamewafundisha hivi, mtapata shida sana kwasababu ni wrong 100%. nakubaliana na wewe kuwa uturuki ni NATO, lakini haipo ndani ya european union hadi leo hii wanakataliwa kuingia. hiyo ni loss kubwa sana kwao kwasababu wakiwa eu wangefaidika sana kiuchumi na kijamii. hata kama not arab, wanajifanya wazungu lakini sio wazungu, they are more of mediteranian people. na uchumi wao sio mzuri kiviiile, na kijeshi walishatandikana na ugiriki sana wakigombea cyprus hadi wakagawana kisiwa kile, leo northern cyprus ni poorer than africa wakati southern ni modern europe. northern inakaliwa na waturuki southern na wagiriki.
ukija kwenye suala la international law, you no nothing, yaani wewe ni mweupe. which international law are you talking about ambayo inasema israel imekalia makazi yale kinguvu? tell me which one?...unajua kuwa UN inaitambua israel kuwa ni state lakini palestina hadi leo ni authority tu wala si nchi? unajua israel ni member wa UN palestina sio? unajua kama jerusalem ni makao makuu ya nchi inayotambulika na UN? na hakuna hata sheria moja ya kimataifa inayotambua israel as an occupying state.
Wajaribu tu najua kinawauma pale walipowatuma watu kwenye ile meli ya uchochezi na wakajifanya wababe tisa wakauliwa hasira zao bado hazijaisha na kwenye mahakama ya UN imesema Israel haina hatia walichokozwa na wale waliouwawa ni upumbavu wao tu kutaka kuwanyang'anya silaha wanajeshi na kuwapiga na kuwazuia wasiingie kwenye nchi ya watu kwa visingizio wanakuja kutoa misaada huku hiyo meli haikuwa na hizo bidhaa walizodai wamebeba... Shenz type zao mituruki
Hawa jamaa wanachekesha sana ....!!
Hii ndo list ya top ten kwa nguvu za kijeshi duniani.
acheni ushabiki mbuzi.
The GFP Top 10:
1. United States
2. Russia
3. China
4. India
5. United Kingdom
6. France
7. Germany
8. Turkey
9. South Korea
10. Japan
Kwanini mkuu!?
Umoja wa mataifa haitambui jerusalem kama iko israel