Turkey seeks US Patriot Missiles to deter Russia in Syria

Russia ni watu makatili na hawana mnafiki

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hivi nani ni katili zaidi,Urusi au Marekani.Nitajie nchi ambazo Urusi wanazikalia,wamezisambaratisha,wameua marais wao,wameingia na kuiba madini au mafuta,wameangusha serikali za nchi hizo,wamepiga nchi hizo mabomu ya nuclear,wamemwaga sumu ya agent orange kuua mimea na watu wa nchi hiyo.Kama huna mkuu nyamaza tu,achaa.Marekani ni taifa katili kuliko taifa lolote duniani.Serikali inayofanya kwa siri ni vigumu kusimulia,kwa kuwa hakuna mwanadamu anayeweza kuyaamini.Hivi unajua kwamba Marekani ndio architects wa ugaidi na vikundi vya ugaidi?Hivi unajua kwamba serikali ya Marekani imekubali wananchi wake wawe abducted na mashetani,miili yao iwe mutilated during experimentation in exchange for technologies? And that is only a tip in the iceberg.Mike Pompeo katika hali ya kushangaza amesema,and I quote,
"I was the CIA director. We lied, we killed,we cheated, we stole. We had entire training courses. It reminds you of the glory of the American experiment."
 
Mkuu hivi nani ni katili zaidi,Urusi au Marekani.Nitajie nchi ambazo Urusi wanazikalia,wamezisambaratisha,wameua marais wao,wameingia na kuiba madini au mafuta,wameangusha serikali za nchi hizo,wamepiga nchi hizo mabomu ya nuclear,wamemwaga sumu ya agent orange kuua mimea na watu wa nchi hiyo.
Sawa nimekuelewa marekani ni katili zaidi na mnafiki Sana anaangalia maslahi ila kwa mrusi anaangalia urafiki wa kweli ndyo maana hakuwa mnafiki kwa Syria eti kwa biashara Kati yake na uturuki s 400

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uturuki wanayumba sana in foreign policy.Wanapaswa kuwa na policy inayoeleweka.Sasa wanataka Patriot Missiles za Marekani kwa kuwa wamebanwa na Urusi,Syria na Iran Idlib.Ni majuzi tu walinunua the S-400 Triumf Missile System ya Urusi na kusitisha participation in the manufacture of a certain Falcon jet. Sina hakika ni series ipi ya Falcon.Wakati huo huo wana mikataba ya kibiashara na Urusi.Nashindwa kuilewa Uturuki.
Falcon hipi mkuu mi nakumbuka waligomewa mradi wa F-35. Nchi vicha kama Turkey huwezi kuwapa cutting edge weapon system maana hawatabiriki.
 
Saudi Arabia ni wazembe tu hamna kitu. Uturuki ilisimama yenyewe vita ya kwanza ya dunia.Hata hivo ndo maana wanajitahidi kununua sana silaha maana kipindi Saddam anaivamia Kuwait walilialia sana waje kusaidiwa kuzuia wasivamiwe.
Uturuki hadi sasa ina kasi sana kwenye kutengeneza silaha zao. Wanatengeneza drones, attack helicopters, IFV, APC na vifaru, hata meli na boti za kivita wanajaribu kuunda za kwao. Wameanzisha program ya stealth fighter ambapo angalau miaka kumi ijayo watakuwa nayo.
Mkuu! Ina maana Uturuki ni bora sana kuliko hata Iran ?
 
Falcon hipi mkuu mi nakumbuka waligomewa mradi wa F-35. Nchi vicha kama Turkey huwezi kuwapa cutting edge weapon system maana hawatabiriki.
Hiyo F stands for Fighter mkuu.Anyway huo mradi wa F-35 Uturuki ndio walio pull out niseme,baada ya kusisitiza kwamba wanahitaji S-400 missiles za Urusi na wakazinunua.Kwa upande wa Marekani wao walidai kwamba S-400 missiles sio compatible na F-35.Ni kweli sio compatible kwa kuwa F-35 hazifui dafu kwa S-400 missiles,na Marekani wanaogopa kwamba incase wataingia kwenye conflict na Uturuki,madege yao ya F-35 yatadunguliwa kwa kuitumia S-400 missiles.
 
Mkuu! Ina maana Uturuki ni bora sana kuliko hata Iran ?
Iran hana uwezo wa kumpiga Uturuki. Kwa kila kitu Uturuki anamzidi Iran tena mbali. Courage waliyonayo Iran ingewabeba lakini hata Uturuki wana courage mno kwenye masuala ya kupigana. Kwa cyberwarfare nadhani Iran anamzidi Turkey.
 
Hiyo F stands for Falcon mkuu.Anyway huo mradi wa F-35 Uturuki ndio walio pull out niseme,baada ya kusisitiza kwamba wanahitaji S-400 missiles za Urusi na wakazinunua.Kwa upande wa Marekani wao walidai kwamba S-400 missiles sio compatible na F-35.Ni kweli sio compatible kwa kuwa F-35 hazifui dafu kwa S-400 missiles,na Marekani wanaogopa kwamba incase wataingia kwenye conflict na Uturuki,madege yao ya F-35 yatadunguliwa kwa kuitumia S-400 missiles.
F-16 ndo inaitwa Flying Falcon na hiyo F ya mwanzo haina maana. Walidesign General Dyamics, wanatengeneza Lockeed Martin.
F-35 ni Lightning II au Joint Strike Fighter.
F-22 Raptor ndo Lightning.
Hizi stealth zote za Lockeed Martin.
Pia kuna F-114 Nighthawk waliyoidondosha Serbia.
In short sijui designation ya F kama kuna kitu inamaanisha.
 
Iran hana uwezo wa kumpiga Uturuki. Kwa kila kitu Uturuki anamzidi Iran tena mbali. Courage waliyonayo Iran ingewabeba lakini hata Uturuki wana courage mno kwenye masuala ya kupigana. Kwa cyberwarfare nadhani Iran anamzidi Turkey.
Inashangaza hiki kiburi cha kumvimbia Marekani hawa Iran wanakipata wapi ilihali wapo nyuma sana.

Ukiondoa Makombora ya masafa na cyber warfare ni eneo gani jingine Iran yupo vizuri? maana naona kama kaamua kujikita hapo kwenye makombora ya masafa marefu na mafupi sababu jeshi lake la anga bado ni duni sana.
 
Iran hana uwezo wa kumpiga Uturuki. Kwa kila kitu Uturuki anamzidi Iran tena mbali. Courage waliyonayo Iran ingewabeba lakini hata Uturuki wana courage mno kwenye masuala ya kupigana. Kwa cyberwarfare nadhani Iran anamzidi Turkey.
uwa mnatumia kipimo gani kupata majibu hayo maana ninavyojua mimi Iran sio mtu wa mchezo mchezo ndugu.Huyo Uturuki kafanya nini kikubwa mpaka awe tishio

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inashangaza hiki kiburi cha kumvimbia Marekani hawa Iran wanakipata wapi ilihali wapo nyuma sana.

Ukiondoa Makombora ya masafa ni eneo gani jingine Iran yupo vizuri? maana naona kama kaamua kujikita hapo kwenye makombora ya masafa sababu jeshi lake la anga bado ni duni Sana.
Eneo laAnga.mmesahau ile drone yenu isiyonekana kwenye rada ilishushwa wapi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
F-16 ndo inaitwa Flying Falcon na hiyo F ya mwanzo haina maana. Walidesign General Dyamics, wanatengeneza Lockeed Martin.
F-35 ni Lightning II au Joint Strike Fighter.
F-22 Raptor ndo Lightning.
Hizi stealth zote za Lockeed Martin.
Pia kuna F-114 Nighthawk waliyoidondosha Serbia.
In short sijui designation ya F kama kuna kitu inamaanisha.
F inasimama kama Fighter mfano. F-15 strike Eagle
B kama Bomber,nk. B-52 Stratofortress

Sent using Jamii Forums mobile app
 
F-16 ndo inaitwa Flying Falcon na hiyo F ya mwanzo haina maana. Walidesign General Dyamics, wanatengeneza Lockeed Martin.
F-35 ni Lightning II au Joint Strike Fighter.
F-22 Raptor ndo Lightning.
Hizi stealth zote za Lockeed Martin.
Pia kuna F-114 Nighthawk waliyoidondosha Serbia.
In short sijui designation ya F kama kuna kitu inamaanisha.
F mkuu ina maana.Hebu fuata hii link uone.
 
Duh, yaani ww, unasema Iran hana uwezo wa kumpiga Turkey na kwa kila kitu Turkey anamzidi Iran?? Mkuu ww unaijua Iran au ulikusudia Iraq mkuu?? Unajua Super Power ya Mashariki ya kati ni ipi kwa sasa?? Unajua Iran pekeake ndio anauwezo wa kumpa mikwala marekani na akaufyata?? Unajua nchi pekeake apo mashariki ya kati yenye uwezo wa kutengeneza silaha kali na defense system home made ni Iran pekee?? Unajua kuwa Iran ana missiles underground ambazo ni siri hazijulikani uwezo wake?? Unajua ulaya ilijitenga kutoshiriki shambulizi lolote dhidi ya Iran kutoka Marekani kutokana na Iran kutoa vitisho kuwa anaweza kuhit target popote mashariki ya kati Africa na Ulaya??

Iran said it will retaliate. It did

It said it will not use proxies. It didn't

It said it'll target military assets. It did

Message is clear: They will do what they say

Now they say they'll target all US bases in the region if Trump escalates further.

Take them at their word

Iran hana uwezo wa kumpiga Uturuki. Kwa kila kitu Uturuki anamzidi Iran tena mbali. Courage waliyonayo Iran ingewabeba lakini hata Uturuki wana courage mno kwenye masuala ya kupigana. Kwa cyberwarfare nadhani Iran anamzidi Turkey.
Usifananishe Iran na Uturuki mkuu, hivyo ni vitu viwili tofauti

Sent using Jamii Forums mobile app
 
F-16 ndo inaitwa Flying Falcon na hiyo F ya mwanzo haina maana. Walidesign General Dyamics, wanatengeneza Lockeed Martin.
F-35 ni Lightning II au Joint Strike Fighter.
F-22 Raptor ndo Lightning.
Hizi stealth zote za Lockeed Martin.
Pia kuna F-114 Nighthawk waliyoidondosha Serbia.
In short sijui designation ya F kama kuna kitu inamaanisha.
F-Fighter, B-Bomber

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh, yaani ww, unasema Iran hana uwezo wa kumpiga Turkey na kwa kila kitu Turkey anamzidi Iran?? Mkuu ww unaijua Iran au ulikusudia Iraq mkuu?? Unajua Super Power ya Mashariki ya kati ni ipi kwa sasa?? Unajua Iran pekeake ndio anauwezo wa kumpa mikwala marekani na akaufyata?? Unajua nchi pekeake apo mashariki ya kati yenye uwezo wa kutengeneza silaha kali na defense system home made ni Iran pekee?? Unajua kuwa Iran ana missiles underground ambazo ni siri hazijulikani uwezo wake?? Unajua ulaya ilijitenga kutoshiriki shambulizi lolote dhidi ya Iran kutoka Marekani kutokana na Iran kutoa vitisho kuwa anaweza kuhit target popote mashariki ya kati Africa na Ulaya??

Iran said it will retaliate. It did

It said it will not use proxies. It didn't

It said it'll target military assets. It did

Message is clear: They will do what they say

Now they say they'll target all US bases in the region if Trump escalates further.

Take them at their word

Usifananishe Iran na Uturuki mkuu, hivyo ni vitu viwili tofauti

Sent using Jamii Forums mobile app
Teh teh teh nadhani huijui Uturuki vizuri wewe,waulize Wairani wenyewe. Super Power wa middle East ni Israel then anafuata Turkey.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh, yaani ww, unasema Iran hana uwezo wa kumpiga Turkey na kwa kila kitu Turkey anamzidi Iran?? Mkuu ww unaijua Iran au ulikusudia Iraq mkuu?? Unajua Super Power ya Mashariki ya kati ni ipi kwa sasa?? Unajua Iran pekeake ndio anauwezo wa kumpa mikwala marekani na akaufyata?? Unajua nchi pekeake apo mashariki ya kati yenye uwezo wa kutengeneza silaha kali na defense system home made ni Iran pekee?? Unajua kuwa Iran ana missiles underground ambazo ni siri hazijulikani uwezo wake?? Unajua ulaya ilijitenga kutoshiriki shambulizi lolote dhidi ya Iran kutoka Marekani kutokana na Iran kutoa vitisho kuwa anaweza kuhit target popote mashariki ya kati Africa na Ulaya??

Iran said it will retaliate. It did

It said it will not use proxies. It didn't

It said it'll target military assets. It did

Message is clear: They will do what they say

Now they say they'll target all US bases in the region if Trump escalates further.

Take them at their word

Usifananishe Iran na Uturuki mkuu, hivyo ni vitu viwili tofauti

Sent using Jamii Forums mobile app
Na pia anaweza kumkoromea hata mrusi akaufyata

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom