Mkuu wahitajika kusoma taarifa za kutosha Sana kutoka middle East especially Syria.. HEZBOLLAH ni washirika wa mwanzo Assad wa Vita dhidi y rebels na terorists kabla ya Iran na russiA.Hapo kwa Hezbollah umechanganya, hiyo haiko Syria iko Palestine inapambana na Israel. Pia S-300 zimeuzwa muda si mrefu hivo bado jeshi la Syria lilikuwa halijaanza kuzitumia bado walikuwa wanafundishwa na Warusi. Na kwakuwa Warusi wako na operation kule lazima wawe na washauri wa kivita na team kadhaa ya kuoperate hizo base walizonazo. Hata special forces hutumwa kusaidia. Na hakuna Su-57 iliyoenda kupigana uko, hiyo ndege ni level za juu sana kupigana na waasi. Mig-25 tu inatosha.
Kuhusu mig 25 ziko out of service by Russian airforce.. su 57 iko katika majaribio mazito
Sent using Jamii Forums mobile app