President Elect JF-Expert Member Joined Aug 9, 2011 Posts 693 Reaction score 212 Sep 3, 2011 #1 Namkumbuka 'Uncle Tom' alishirikiana kina McGhee, na wanajeshi kadhaa kutaka kumpindua Nyerere enzi hizo. Kama kuna walioshiriki na wako hai, basi watujuze kash-kash zilivyokuwa.
Namkumbuka 'Uncle Tom' alishirikiana kina McGhee, na wanajeshi kadhaa kutaka kumpindua Nyerere enzi hizo. Kama kuna walioshiriki na wako hai, basi watujuze kash-kash zilivyokuwa.
Mwita25 JF-Expert Member Joined Apr 15, 2011 Posts 3,831 Reaction score 1,173 Sep 3, 2011 #2 Watakuja wataalam wa kutungatunga story za uongo ilimradi wa-comment.