dyuteromaikota
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 5,937
- 8,358
Hao wasiokupigia wewe huwa unawapigia?Unakuta kwenye simu yako una list ya marafiki 1000+; ambao umewasiliana nao mwaka mzima na mawasiliano yao na wewe yako active ni wanne (4) tu; Sasa hao wengine uliowaweka kwenye simu yako wana tija gani kwa maisha yako. Kwa mtazamo wangu, ni bora uwe na idadi ya watu wachache kwenye simu yako ambao kweli unaona wana tija. Kuwa na list ndefu ya majina ni kuichosha simu yako na kujipa faraja kwa marafiki feki ulionao. Kwa maoni yangu tubadilike
Ila katika maisha kama haujapata mitihani migumu ya aina yoyote ile ni ngumu sana kumjua yupi ni rafiki wa kweli au ndugu wa ukweli.Unakuta kwenye simu yako una list ya marafiki 1000+; ambao umewasiliana nao mwaka mzima na mawasiliano yao na wewe yako active ni wanne (4) tu; Sasa hao wengine uliowaweka kwenye simu yako wana tija gani kwa maisha yako. Kwa mtazamo wangu, ni bora uwe na idadi ya watu wachache kwenye simu yako ambao kweli unaona wana tija. Kuwa na list ndefu ya majina ni kuichosha simu yako na kujipa faraja kwa marafiki feki ulionao. Kwa maoni yangu tubadilike
Nakazia mkuu2020 tupunguze kujipa umuhimu kwenye maisha ya watu.
Mkuu sio vizuri kufuta namba hata kama huna shida nazo au hamuwasiliani nao.Kuna jamaa angu baada ya kuona namba hazina umuhimu akafuta baadhi ya namba.Hazikupita siku nyingi akapatwa na ishu serious ambayo ilikuwa inahitaji kupata mtu mmoja ambaye ni miongoni ambao namba zimefutwa.Alihaha na kwa kila mtu anakoomba namba anaambiwa hana namba.Akaja kupata badaye sanaUnakuta kwenye simu yako una list ya marafiki 1000+; ambao umewasiliana nao mwaka mzima na mawasiliano yao na wewe yako active ni wanne (4) tu; Sasa hao wengine uliowaweka kwenye simu yako wana tija gani kwa maisha yako. Kwa mtazamo wangu, ni bora uwe na idadi ya watu wachache kwenye simu yako ambao kweli unaona wana tija. Kuwa na list ndefu ya majina ni kuichosha simu yako na kujipa faraja kwa marafiki feki ulionao. Kwa maoni yangu tubadilike
Bakisha namba nne tu kwenye phone book yako ndo Kuna siku utakuja kumbuka kuwa hukutakiwa kufuta baadhi ya nambaNi kweli maana nimegundua hata simu yangu siku hizi iko slow vibaya,kumbe marafiki wa kweli ni 4 tu,this year am going to delete all the fake friends kwenye phonebook yangu...
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwenzio kakudhihaki hapo we ulivyo sio muelewa eti umemuunga mkono. Soma tena comment yake kwa utulivu.Ni kweli mkuu,inabidi kupunguza msongamano
Kweli mkuu inabidi kubadilikaNi kweli maana nimegundua hata simu yangu siku hizi iko slow vibaya,kumbe marafiki wa kweli ni 4 tu,this year am going to delete all the fake friends kwenye phonebook yangu...
Sent using Jamii Forums mobile app
Ha ha ha ha unakuta una namba, ukijiuliza kwa mara ya mwisho ya mawasiliano,unakuta ni miaka 5 iliyopitaKwanza kuwa na majina mengi kunamaliza sana chaji ya simu. Alisikika mpita njia mmoja..
ha ha ha sasa hapo kila upande ujitathmini
Nakubaliana na wewe,ila kupunguza 'risk' ni muhimu zaidiIla katika maisha kama haujapata mitihani migumu ya aina yoyote ile ni ngumu sana kumjua yupi ni rafiki wa kweli au ndugu wa ukweli.
Unaweza ukawa unawasiliana kila mara na baadhi ya rafiki au ndugu na wewe ukawa ni mtu mwenye kuwasaidia sana ila siku ukawa na matatizo wakakukimbia au kupunguza kabisa mawasiliano na wewe.
Ukitaka kuwajua rafiki au ndugu wa ukweli pata matatizo hapo ndio utaona yupi ni wa ukweli au yupi ni fake
Tazama mtu anapofariki na kuacha familia mara nyingi wale waliokuwa wakionekana wa ukweli ndio kwanza wanabadilika na wale waliokuwa wakionekana hawana umuhimu ndio wanaookoa jahazi.
Kikubwa ni kuishi na watu kwa hali yoyote walionao na wala usione huyu hamna mawasiliano vizuri ukampotezea
Sitetei kwamba wote wasio na mawasiliano vizuri basi wakawa wazuri kweli ila binadamu ni watu wasiotabirika.
Tuishi kwa upendo kwa wote wahenga walisema atakaye kuzika humjui usibague wala kuchagua.
Kikubwa kila mmoja ukimjua tabia yake jua namna ya kuishi nae.
Inamaanisha kuwa na list ya watu wengiUnakuwaje na marafiki 1000???
Kwa mfano una namba ambazo huna mawasiliano nazo zaidi ya miaka 3;sasa unakuwa nazo za nini?Mkuu sio vizuri kufuta namba hata kama huna shida nazo au hamuwasiliani nao.Kuna jamaa angu baada ya kuona namba hazina umuhimu akafuta baadhi ya namba.Hazikupita siku nyingi akapatwa na ishu serious ambayo ilikuwa inahitaji kupata mtu mmoja ambaye ni miongoni ambao namba zimefutwa.Alihaha na kwa kila mtu anakoomba namba anaambiwa hana namba.Akaja kupata badaye sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilijua wapo watu wenye hizo nambaInamaanisha kuwa na list ya watu wengi
ha ha ha mitazamo hutofautiana mkuuMtoa mada inaonesha maisha yako ni magumu sana, watu waliopigika na maisha ndo hiwa wanakuwa na mawazo kama yako sijui marafiki feki na kufuta namba.
Hata zikiwepo kwenye simu wewe zinakupunguzia nini?
Sent using Jamii Forums mobile app