Evarm ntake radhi mwenzio. toka lini binadamu akawa na urafiki na nyani??? cc Nyani NgabuNimependa sana urafiki wenu, na ningependa kuwaona kama hapa mnavyotaniana.
hivi hawa watoto wazuri mnawapata vipi jamani
Napenda kukutana na dada mmoja mgeni anaitwa " mango g " humu MMU,nipate kuzungumza nae na kufahamiana zaidi.
kakusikia kaka atakutafuta kama vp!Ningependa kukutana na Lara 1, aise komments zake c mchezo zinaniacha hoi..afu anaonekana full hana shobo ni demu ngangari,.. ningependa kutalk n ae tu afu kama vip akikubali hata family friend visit itakuwa pouwa, namkaribisha mahom full kuinjoi na my family aisee ikitokea hivyo i will be more than happy....mwendo babeq + ++++duh cku nzima aliyonipa itakuwa imeisha and then i will take my dayari and note the day down 4 remembrance...Then 2mor nampeleka mastend and say goodbye Lara c u..
Oya tumefunguka sasa what next....vp utadhamini pambano..!
daaaaaaaaaaaaah!
nani kakuambia mgeni humu au hujui multiple ID
Napenda kukutana na dada mmoja mgeni anaitwa " mango g " humu MMU,nipate kuzungumza nae na kufahamiana zaidi.
mm ndie nliemuambia kwamba ni mgeni humu! Na ni ukweli pia.cna multiple id ka ulivyosema.
ndo utakiii u????? Mbona hauoneshi ushirikiano ww???:lie:
me yangu machu
mm ndie nliemuambia kwamba ni mgeni humu! Na ni ukweli pia.cna multiple id ka ulivyosema.
ningetamani kukutana na Elli na Watu8 hawa watu unifurahsha sana wanapochangia thread big up kwao.