Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 37,156
- 55,653
Utuwekee ata likitok vibyPilau bado sijui kupika mkuu,.
Ila nitajaribu likitoka vizuri nitaweka Uziππ
ha ha haHuu mtego siingiiππ
Nitakua napika namtuma boda alete
Jiamin tuIli mnichambeππ
Wee sitaki
Nakutafuta sana huoni quotes zangu ? Mbamizwa kobaa cc secretarybirdMwachiluwi akiona huu uzi ataacha hata kufatilia tamthilia yake pendwa
PENZI LA BOSS NA DADA WA KAZI
Acha MBA MBA MBAπππ π NIMETAJA X3Kila mtu ni bora hatushindani kaka
Hongera kipenz umepika vizuri sana
πππKesho ukae mbele kabisaUnajua kupika vizuri sana, nataka nikukodi ukae nyumbani kwangu miezi miwili uwe unanipikia tu vitu adimu kama samaki.
Wewe jamaa sijaina akili mbovu Jf na mitandao yote Duniani kukuzidi wewe cheki avatar ya kiMangoto na jina la Kipimbi . π€£π€£Kayngay
Avatar yako inaniangalia kwa usongo sana , tatizo nini Jombis π€£πππNani kakuuliza?
Asante sana .Karibu
Siwezi kuingia mzigoni nikafa kizembe Kisha niache vitu kama hivyo kimasiharaMkuu,
Unaonaje Leo kikapikwa hiki cha mtume cha kutosha ili tule tushibe alafu kesho kibakie kiporo,asubuhi tukigonge kisha tuingie mzigoni kuandamana tukiwa tumeshiba?
Tusiuache huu mwaka upite, bila mimi na wewe kufanya jamboπππKesho ukae mbele kabisa