kiss ov love
JF-Expert Member
- Jan 21, 2025
- 9,388
- 16,176
πππAsante kwa maombi babu, na mimi ntaendelea kujiombeaHahaha.........njoo umsaidie Bibi yako kunilea, si unajua sisi tuliozaliwa Mwaka 47 tumeruhusiwa kuongeza wake tukizeeka π€
I pray for you Mjukuu, hopefully you will have one, when the right time comes π
Kila la heri Mjukuu, Mimi na Bibi yako tunakuombea π€πππAsante kwa maombi babu, na mimi ntaendelea kujiombea
Asanteni sana BabuβΊοΈKila la heri Mjukuu, Mimi na Bibi yako tunakuombea π€
ππAsanteni sana BabuβΊοΈ
Ahahah ila jipe muda broHivi vitu kama huvijui ni kitendo Cha kureply kwenye Uzi wa mtu huku ushapigwa mzinga
Inapendeza babuJumapili iliyopita nilipika ugali na mlenda pembeni niliweka maharage ya Nazi nikinywa na maziwa mtindi π
Nina kawaida ya kumsaidia Bibi yenu kupika weekend ili kipaji changu cha kupika kisipotee bure π
Mlenda nilioandaa niliweka bamia nyingi huku majani ya maboga nikiweka machache, niliunga Karanga za kusagwa (peanut butter)
Kuna wakati nilitembelea Mpwapwa - Dodoma, nikakutana na mlenda wa kusagwa
It was the first time I had tasted it
So yummy π
Wanyakyusa hatuli kabisaKuna sehemu zingine hawajui kama mlenda ni mboga, wengine hawali sababu ya usumbufu wa ile michuzi ya milenda.
But trust me, mlenda ni remedy nzuri ya kusawazisha tatizo la constipation na kuweka sawa flow ya chakula kwenye mmeng'enyo.
Hakika Mkuu π€Inapendeza babu
Ahahah lazima ule kitu unapendaMwachiluwi jamnn hakuna hata shombo aah
Asante hakikisha pepsi baridi haikosekani pembeni vinginevyo ntapata dipresheni.Half american karibu chakula.