Tupike ugali na mlenda

Jumapili iliyopita nilipika ugali na mlenda pembeni niliweka maharage ya Nazi nikinywa na maziwa mtindi πŸ˜‹

Nina kawaida ya kumsaidia Bibi yenu kupika weekend ili kipaji changu cha kupika kisipotee bure πŸ‘Š

Mlenda nilioandaa niliweka bamia nyingi huku majani ya maboga nikiweka machache, niliunga Karanga za kusagwa (peanut butter)

Kuna wakati nilitembelea Mpwapwa - Dodoma, nikakutana na mlenda wa kusagwa

It was the first time I had tasted it

So yummy πŸ˜‹
 
Eeeh! Mungu nipe mwanaume kama babu😁😁
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…