Mdalasini, hiriki, karafuu na pilipili manga ya unga inafaa kuchanganywa pamoja kwa chai ?Hello [emoji112],.
Leo si nikapika bhana halafu nikalala nikasahau kupost wakati nlishapiga Hadi picha,..
Haya tuanze,. Ingredients ni ndizi mbivu,. Maziwa ya Unga,. Kahawa na sukari
Kwenye kikombe chako kisafi utaanza kuweka sukari kijiko kimojaView attachment 3443948
Utafatia na kahawa nusu au robo kijiko,. Mie nliweka robo kijiko cha chakulaView attachment 3443959
Then utaweka maziwa ya Unga vijiko viwili au vitatu kulingana na wewe unavyopendelea,. Mie nliweka vitatu View attachment 3443963
Baada ya hapo utamiminia maji yako ambayo ulishachemsha kama hiviView attachment 3443968
Make sure umekoroga vizuri kabisaa maziwa yasijiweke mabongebonge View attachment 3443973
Then chukua ndizi yako mbivu imenye vizuri unakunywa na chai kama hivi,. Very simple huwaahi haya jiko yaaniView attachment 3443975
Sema hii ndizi bhana[emoji18],,. Anyway nilienjoy breakfast yanguView attachment 3443980
Punguza sukari best🤣🤣🤣 sukari hiyo uliotumia ni nyingi sanaHello 👋,.
Leo si nikapika bhana halafu nikalala nikasahau kupost wakati nlishapiga Hadi picha,..
Haya tuanze,. Ingredients ni ndizi mbivu,. Maziwa ya Unga,. Kahawa na sukari
Kwenye kikombe chako kisafi utaanza kuweka sukari kijiko kimojaView attachment 3443948
Utafatia na kahawa nusu au robo kijiko,. Mie nliweka robo kijiko cha chakulaView attachment 3443959
Then utaweka maziwa ya Unga vijiko viwili au vitatu kulingana na wewe unavyopendelea,. Mie nliweka vitatu View attachment 3443963
Baada ya hapo utamiminia maji yako ambayo ulishachemsha kama hiviView attachment 3443968
Make sure umekoroga vizuri kabisaa maziwa yasijiweke mabongebonge View attachment 3443973
Then chukua ndizi yako mbivu imenye vizuri unakunywa na chai kama hivi,. Very simple huwaahi haya jiko yaaniView attachment 3443975
Sema hii ndizi bhana😌,,. Anyway nilienjoy breakfast yanguView attachment 3443980
Sijawahi kupika hivyo,. Labda Mwachiluwi aje asemeMdalasini, hiriki, karafuu na pilipili manga ya unga inafaa kuchanganywa pamoja kwa chai ?
Hebu jaribu siku moja basi utupe mrejesho niko interested zaidi kujua mchanganyiko huo.Sijawahi kupika hivyo,. Labda Mwachiluwi aje aseme
Chakula cha kimtindo aseeWhaaat🤔
Ndo chai yangu, ila huwa naongeza na tangawizi. Inakuwa nzuri sana.Mdalasini, hiriki, karafuu na pilipili manga ya unga inafaa kuchanganywa pamoja kwa chai ?