Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,977
- 67,599
Leo tuna kula kishkaji no mambo mengiSioni mboga za majani🤔
Nakula pombe na matunda na nyama ya kuku kwa wingiLeo tuna kula kishkaji no mambo mengi
Ahaha pombe na matunda?Nakula pombe na matunda na nyama ya kuku kwa wingiView attachment 3391518
Karibuu
Nini mkuu 😂Ehee
Kabisa mkuu 😂Inasikitisha sana
😂😂 siku moja moja ugali unapumzikaTeam Ugali hawawezi kuupenda huu uzi.
Ilo gheto sasa🫡🫡Nakula pombe na matunda na nyama ya kuku kwa wingiView attachment 3391518
Shida ushazoea ugali 😂Sasa Nikila hivo si baada ya masaa mawili Tu ntaumwa njaa!
Ee dogo si unajua tena sie wengine kazi zetu zinategemea nguvu zetu😀ule hivyo unaweza kubonda kokoto kweli au kutupia mchanga kwenye Tipa mpaka lijae 😀Shida ushazoea ugali 😂