Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,977
- 67,599
Uduguu huu ss wivooo πΉπΉVitu vingine kujifanya fundi wa mapishi ni kuharibu.
Sasa hapo utadhani mavi ya uharisho ya mtoto mwenye degedege. Khaaah
Nweii tumejua uko mbugani, Relaaxxx.
Sasa udugu em ona enye maboga? Hadi kichefu chefu. Rojo rojo la uharisho kabisa hili.Uduguu huu ss wivooo πΉπΉ
Muache Mwachi atufundishe mapishi tukifika VETA sie ni kula boom tu..!!
Hivi VETA kuna UE? π€£
πΉπΉπΉ Mbona wewooo.!!Sasa udugu em ona enye maboga? Hadi kichefu chefu. Rojo rojo la uharisho kabisa hili.
VETA kuna mtihani wa Taifa, wee hujui?
πππππ
VETA ina hatariii. πππππΉπΉπΉ Mbona wewooo.!!
Kuna mtihani wa taifa kumbe!! π€£
Viboko hakuna kweli? πΉVETA ina hatariii. ππππ
Vipo uduguu, ππππViboko hakuna kweli? πΉ
Siku moja tupikie nyama za hao jamaa ndugu zake konde boyHellow
Leo bhna nilitaka kukimbia hapa sasa gafla natoka njee mh nakutana na wazee wazima hawa hapo wanakula nikasema ngoja nirudi ndani niangalia chakufanya sina mbio za kukimbiza nao ndio nikaona boga nikasema ngoja leo nipike hii kitu
View attachment 3277442
Kwanza nikalikata katikati
View attachment 3277444
Kisha nikatoa mbegu izo za maboga
View attachment 3277447
Baada ya hapo nikalimenya boga vizuri tu
View attachment 3277449
Baada ya hapo nika katakata vipande kama hivi
View attachment 3277451
Baada ya hapo nikaweka maji na kuchemsha
View attachment 3277452
Nikaona maji mengi nilipunguza kisha nikaweka nazi yangu
View attachment 3277453
πΉπΉπΉ Tena? Hapana km hivyo siendi..!!Vipo uduguu, ππππ
Naogopaje kuchapwa makalioni. Wooiiiih.
Ahahah sasa si nipo alone mkuMaboga madogo hivyo huo sio upishi ni ukatili na urafi ama uroho!.
SawaVitu vingine kujifanya fundi wa mapishi ni kuharibu.
Sasa hapo utadhani mavi ya uharisho ya mtoto mwenye degedege. Khaaah
Nweii tumejua uko mbugani, Relaaxxx.
Ahahha nyanya chungua hapana mkuu labda kama kwaupande wako unafanya craetivity ila haifaiNina amini kitakuwa na ladha tamu sana. Ukiangushia na nyanya chungu humo je? Au ufundi maiko utaniponza π
Ahahha upendelei kabisa πhuu msos mimi hapana,,π
Pole leo nimekukomesha utulie kwako πSipendi maboga π©π©
Leo nalala njaa.