Tupike maandazi mazuri ya maziwa

Tupike maandazi mazuri ya maziwa

Mwachiluwi

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2022
Posts
33,463
Reaction score
65,772
Hell

Nimekimbia mbio kwenda likizo nilipofika home nikaona niwaandalie maandazi kuepuka kuchomoana hela ya vitafuno morng

So nikaanda unga wa ngano wa PPF kisha hamira, sukari, sodabik, barking powerd na irick

Nilianza na kuchekecha unga wa ngano na kuweka sukari pamoja na sodabik na barnking powerd na maziwa nikiwa naweka polepole kisha nikaanza kukanda

1753204180406.jpeg

Kanda mpaka pale ngano itakapo acha kushika mkononi ngano yako isiwe ngumu iwe lain
1753204250535.jpeg

Kisha acha ya ngano iumuke ila mimi sifanyi ivyo uwa nayakata kisha ndio yakianza kuumuka ndio na ya choma moja kwa moja
1753204436180.jpeg


1753204470837.jpeg

Unaona haya ndio maamdazi nilio yatengeneza ni mazuri sana karibuni kujifunza
1753204532807.jpeg

Ukianza kuchoma usiweke moto mkali sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom