Tupike keki nzuri ya kawaida

Mwachiluwi

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2022
Posts
33,901
Reaction score
67,396
Hellow

Tupike keki ya kawaida ya kula tu nyumbani kwa hamu tu na maandalizi yake ni yakawaida kabisa

Kwanza tutaanza kuandaa vifaa vyetu

Kisha tutaanza kuweka mayai matatu na kukoroga mpaka povu litoke

Kisha nitaweka sukari kikombe kimoja kidogo ila mimi siku weka yote kuepuka sukari nyingi nayo ukiweks koroga mpaka uone mchanganyiko wako ni mzito pia mweupe

Mchanganyiko wako uwe wa aina hii

Baada ya hapo uta weka radha mimi nimetumia hii wewe una weza weka vanila ila mm naipenda hii keki ina kuwa ya kipekee zaidi
Ukiweka ivyo utaweka pia blue band kiasi cha kikombe kidogo ila mimi nimekadiria wewe kama sio mzoefu pima kwenye kikombe
Kisha koroka mpaka mchangiko wako uonekane smooth kabisa yaan soft
Kama hivi

Kisha weka unga kiasi cha robo au kikombe kidogo kisha koroga tena mchanganyiko wako hakikisha hauna mabonge kabisa

Kisha weka kwenye oven yako moto wa kawaida tu ila uwe una chungulia chungulia

Na hii ndio keko yetu ya kula nyumbani sio ya biashara
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…