Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,913
- 67,435
Sasa si jukwaa la mapishi braza ? Unataka azungumzie habari za bwashee tesha jukwaa la mapishi?Niliposoma heading nikataka kupita ila nikajisema, huyu yupo nchini kweli au?.
Wananchi wanataka nchi ipone wewe unawafundisha kashata za kunywea alkasusu daaa!.
Ona hii 29.10.2025
😂😂😂 refresh muhimuNiliposoma heading nikataka kupita ila nikajisema, huyu yupo nchini kweli au?.
Wananchi wanataka nchi ipone wewe unawafundisha kashata za kunywea alkasusu daaa!.
Ona hii 29.10.2025
Nasubir hapaNgoja nijaribu jioni ya leo
Tuna jaribuNzuri
Watu wana taka tufocus onSasa si jukwaa la mapishi braza ? Unataka azungumzie habari za bwashee tesha jukwaa la mapishi?
Anko nikikosa vanila naweza kutia Nini?Nasubir hapa
Sio lazimaAnko nikikosa vanila naweza kutia Nini?
Hapo lazima akalie mbuzi kukuna nazi , akikaa kwenye kigoda mbuzi itakosa balance wakati wa kukuna , na akikalia mbuzi lazima afyetue kiuno kidogo ili akune nazi, njia nzuri kutunza heshima ya kiumeni ni kukaa upande miguu ielekee upande mmoja 🤣Samahani uli kalia kigoda ndio uka kuna nazi au uli kalia ile mbuzi?.
Zulu man, Vishu Mtata njooni mpike kashata.
🤣Samahani uli kalia kigoda ndio uka kuna nazi au uli kalia ile mbuzi?.
Kuuliza si ujinga lakini 😅
Huyu ni mbunifu, so ali kalia mbuzi ndio maana nazi ime sagika vere.Hapo lazima akalie mbuzi kukuna nazi , akikaa kwenye kigoda mbuzi itakosa balance wakati wa kukuna , na akikalia mbuzi lazima afyetue kiuno kidogo ili akune nazi, njia nzuri kutunza heshima ya kiumeni ni kukaa upande miguu ielekee upande mmoja 🤣View attachment 3483940