UZZIMMA
JF-Expert Member
- Nov 20, 2014
- 414
- 483
Duu.. Huko ulipokuwa mnara wa jamiiforum ulikuwa haukamati!Bashite ndio nani? nilikuwa safari ndio nemerudi jana nifahamishe mkuu
Duu.. Huko ulipokuwa mnara wa jamiiforum ulikuwa haukamati!Bashite ndio nani? nilikuwa safari ndio nemerudi jana nifahamishe mkuu
Umeshawahi ona aliyepata division one akiomba kutumia cheti cha mtu mwingine..?? Tatizo la kutumia vyeti vya watu wengine linaanzia kwenye kuzungusha.... LAZIMA TUKEMEE UZUNGUSHAJINi kwa muda sasa umekuwepo unyanyapaaji mkubwa kwa watu wanaoshindwa masomo ya sekondari maarufu kama ''div zero''
wanaitwa kila majina ya hovyo kama wamezungusha vilaza na mambo ya ajabu ajabu.
Kwanza sio kweli wanaofeli sekondari basi hawawezi chochote maishani kana kwamba ni ndondocha au mataahira.
Wapo waliofeli kwa kukosa maandalizi mazuri ikiwemo upungufu wa madarasa walimu na vifaa vya kufundishia kama maabara etc.
Sasa kusema fulani kazungusha kana kamba katenda jinai hapana ifike wakati sasa tukatae namna hii ya unyanyapaa na ifike sehemu watoto wakifeli wazazi wawashitaki walimu na wadai fidia. Ni jukumu la mwalimu kumfdundisha mtoto nani dhamana yake.
Ila aliyezungusha akipiga vita wasomi tumsapoti eti???
Soma tena nilichoandika utanielewa. Niliandika "Lakini kushitaki walimu ni ngumu sana labda kama darasa zima limepata 0 na umewapa walimu environment nzuri ya kufundishia pamoja na vijana wazuri". Kwa mfano uliotoa inamaana shule (mazingira na walimu) iko safi. Je walimu wako walikuwa na motisha ya kufundisha? Wanafunzi je? Kushika mkia sio issue kama bado wanafunzi wamefanya vizuri kwani lazima shule moja au zaidi zishike mkia. Ufaulu wao ulikuaje na umesambaa vipi (distribution). Kama unahakika walimu walikuwa wakutosha, wanavigezo vinavyotakiwa na hawana tatizo la motisha na wanafunzi wamefanya vibaya (in absolute terms) ndio utakuwa na haki ya kuwawajibisha.hapana sikubaliani na wewe, jiulize mwaka jana azania ilishika mkia wakati shule inawalimu zaidi ya wale wanaohitajika kitaalamu inakila nyenzo tena iko mita chache kutoka makao makuu ya wizara hapo walimu na maafisa elimu lazima wabebe lawama za kufeli kwa watoto.
na akitumia jina la mtu pia tusi mnyanyapae?Ni kwa muda sasa umekuwepo unyanyapaaji mkubwa kwa watu wanaoshindwa masomo ya sekondari maarufu kama ''div zero''
wanaitwa kila majina ya hovyo kama wamezungusha vilaza na mambo ya ajabu ajabu.
Kwanza sio kweli wanaofeli sekondari basi hawawezi chochote maishani kana kwamba ni ndondocha au mataahira.
Wapo waliofeli kwa kukosa maandalizi mazuri ikiwemo upungufu wa madarasa walimu na vifaa vya kufundishia kama maabara etc.
Sasa kusema fulani kazungusha kana kamba katenda jinai hapana ifike wakati sasa tukatae namna hii ya unyanyapaa na ifike sehemu watoto wakifeli wazazi wawashitaki walimu na wadai fidia. Ni jukumu la mwalimu kumfdundisha mtoto nani dhamana yake.
Yeah! Kama Mbowe.Ila aliyezungusha akipiga vita wasomi tumsapoti eti???
Kama Mwenyekiti wakoIla nduguyanguuu kuna watu tumesoma mazingira magumu sana na misuli yatima na kumuomba mungu tukapata angalauuu si haba sasa unataka kuwafunza nini wadogo zetu usitetee ujinga msingi wa kupata zero uliujenga mwenyewe
Vipi dj?Baba J mwenyewe aliwanyanyapaa,nashangaa huyu amemkumbatia