Tupia vijineno hapo kwenye picha... William na Lowassa

i pad3

JF-Expert Member
Mar 16, 2012
1,518
378
hapo vipi?
will..lowasa.jpg
 
willy: mzee kura yako ni muhimu
EL; aaa kijana umeshaipata
 
Ndio tunawandaa kwenda kulinda maslahi yetu msitupeleke mahakamani
 
NDUGU ZANGU WA dodoma HAHAHHA CHIGWIYEMISI BANA CCM WALIMUUA KISIASA MPAKA SASA TINGATINGA KIMYAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA
 
Willy anaonekana hayupo Comfortable
Lowassa is looking more relaxed
 
Willy anaonekana hayupo Comfortable
Lowassa is looking more relaxed

anajua huyu jamaa ni wa ukweoi kutokana na uzi mmoja hapa jf ila kiukweli hana lolote EL ni sound tu
 
achana babako mambo yake yasha zeeka kama yeye ila kwa heshima yake ntakups uwaziri mkuu 2015.
 
Edo: wewe si unaniitaga GAMBA niondolewe? nikupe kura ya nini sasa?
Willy: Mkuu chuna si unajua mi baharia @NY nilikuwa nawafurahisha JF tu .............!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom