Papaa Gx
JF-Expert Member
- Oct 10, 2016
- 10,172
- 15,830
Habari,
Ikiwa zimebaki siku kadhaa kwa kuanza msimu mpya wa ligi pedwa na maarufu duniani yaani EPL, tumeshuhudia vilabu vyenye majina makubwa na maarufu vikifanya usajili mkubwa na mzuri. Tunategemea msimu huu kuwa wa ushindani mkubwa, hii ni top 4 yangu kwa msimu huu.
1. Chelsea
2. Liverpool
3. Man City
4. Man United.
Tupia yako tuone.