ITEGAMATWI
JF-Expert Member
- Jan 26, 2012
- 5,311
- 4,044
Nyie ndo mnasubiri ligi iishe mshangilie.Mpira sio ramli. Najua even msimu ule Leicester City anatwaa ndoo, watu walikuwa wameshatoa predictions zao mapemaa.
1.Man City
2.Liverpool
3.Arsenal
4.Chelsea
5.Man U
Kwahiyo Aseno unaichukulia poa poa?Ila kiukweli kila mtu ana haki ya kubashiri as long as hatuweki chochote, sema kuna Comedians humu wanaiweka Arsenal kwenye top 4.
Kuna hawa wa kupimwa akili wanaoandika eti Arsenal atachukua ubingwa, jamani tuwe serious.
Arsenal ni makelele tu, sioni mabadiliko yoyote aliyofanya huyu Wenger mpya.Kwahiyo Aseno unaichukulia poa poa?