Kwa wakata kiu, tupieni majina ya bar za zamani; Mie nakumbuka Mpilipili,Deluxe -Magomeni, Bingwa bar, Congo bar-Kkoo,Kingstar,White Inn,Bobs Motel, Queen of Sheba,Gaza one,Mori bar-Sinza...endelea.
Nelys Grocey Msasani jirani na kwa Mzee Mwinyi. Masonenyi (ipo Dodoma). Mti Mpana, na nyingine Kampenta (Kurasini Shimo la Udongo). Highway (Shimo la Udongo), Makuti Baa (Kurasini), Busamba (Musoma mjini)