Tupia lako ulilosoma kwenye gari...

Tupia lako ulilosoma kwenye gari...

-Ikiuma sema.
-usije mjini vyumba vimepanda bei(nimeiona leo).
-kama unataka deiwaka kamwambie tajiri(tandika kariakoo).
-haiumizi,umbile lake.
-kila ujinga humfaa mwenyewe
-nenda kaseme.
-kaseme na hii
 
Bandiko kama hili lilishakuwepo kipindi flani. Wengi walitupia misemo kibao...ila nimeuona mmoja juzi ngoja niuongeze...."imekushinda penati utaweza kona"

i lyk it,,,jaman waswahil tuna ngebe
 
Back
Top Bottom