Kwa kweli ni majanga yame zikumba familia zetu pande za dumila kwa mafuriko yaliyopo hapa dumila kwakweli inasikitisha sana kwani ni mamia ya familia hazina makazi sababu ya maji.Kibaya zaidi wengi wamepoteza mali zao walizo chuma kwa miaka mingi.
MUNGU IBARIKI MOROGORO.