Tupeane ujuzi wa app ya premise

Tupeane ujuzi wa app ya premise

vpm

Member
Joined
Sep 20, 2020
Posts
17
Reaction score
31
Habari zenu wadau,

Natumain tu wazima, nlipenda leo tujadiliane juu ya app ya premise. Kwa kuanza tu hii ni app ya kupata vijipesa online haitajirishi ila ni ya kupata pesa za vitunguu tu. Napenda wajuzi waje watueleze vitu vifuatavyo:

1. Muda wa kupata survey za picha
2. Jinsi ya kupata survey za kuvinjari(exploite) na tunafanyaje kuijibu.
3. Nawezaje ku update survey km muda wake unakaribia isha na sijafika location?
4. Na mengine mengi zaid.
Uwanja ni wenu sasa wadau!!
 
Kw kuanzia tu survey zimekua ngumu kupata tofaut n zaman ,mida mizur y kupata survey kipnd CH nyuma ilikuwa kuanzia SAA 12 asbh mpk saa 2:30 asubh
 
Kw kuanzia tyu survey zimekua ngumu kupata tofaut n zaman ,mida mizur y kupata survey kipnd CH nyuma ilikuwa kuanzia SAA 12 asbh mpk saa 2:30 asubh
Na kwa ss je mida ipi mizur ya kuipata?
 
Na kwa ss je mida ip mizur ya kuipata?
Premise niliwapenda mwanzoni mnooo we acha tu Ila saiv daah Kaz kweli kweli na wamepandisha kiwango Cha kutoa hela mwanzoni ilikuwa hata ukiwa na Mia unatoa Ila saiv mpaka ufikishe sio chini ya 10000 Sasa hiyo mpaka uipate labda ubahatishe survey za kutosha na kwa Sasa kupata Ni ngumu ajabu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mm nilianz kutumia premise mwka Jana mwez w 6 nimefaid sio chin y laki 4 zao ila cku hzi ngoma tait
 
Attachments

  • Screenshot_20201003-144842.png
    Screenshot_20201003-144842.png
    27.6 KB · Views: 61
Back
Top Bottom