Tupeane possible za written Interview TRA

Hahahhahahhahahhaahahha

Sent from my iPhone 8 using JamiiForums mobile app
 
Hamna aliyefanya revenue interview jamani maswali yao yalikuwaje wao. Na yeyote anaefanya kesho tax at least tupeane vitu possible vinavyohusiana
 
hahahaha wewe umewaingiza chakaa,,,
 
Haya mambo ya kujianika Kwenye mitandao Ndiyo yanayowaponza na kuletewa mitihani ambayo ni migumu sana!
 
Hivi assume hayo mlotaja Kama Kweli Yamo unazani wao baadhi Yao hawako informed mnayojadili, Lengo Lao ni kupunguza wafu sasa wafu wote mkijua yaliyomo watafikiaje Lengo la kuwapunguza! Ila endeleeni mwaya yamkini itawasaidia!
 
TRA ndio wanaenda kupiga Penalt. Kupitia uzi huu wameshajua kipa anajiandaa kuruka upande upi, hivyo kazi ya "kumuuza" kipa itakua rahisi sana
 
Hawa hawaulizi maswali ya namna hii wanauliza current issue na maswali ya darasan na makazini the applicabilit. Maswal ya namna hii labda Tanapa unaweza ukakuta hata swal moja lkn si hawa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…