Tupeane mix kali za muziki mtandaoni

Natumia site ya Qoret.com kudownload mixing za DJ kenb old school,pop, r&b, hip pop etc.
 
Niko nakula Rhumba hapa, hii miziki inakuwa mizuri sana wakati unagonga Balimi
 
Sijui kwanini madj wa bongo wavivu kuweka mixing zao mtandaoni, mixing nyingi za kibongo zinafanywa na madj wa Kenya, na hapo hupati pure bongofleva maana ndani yake wanachanganya na ngoma zao
 
Made in Tanzania by Dj Dero
Your browser is not able to display this video.
 
Amapiano tulivu kabisa

 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…