Jamani, kuna yeyote anayeishi Katavi, hasa Mpanda, au mwenye ndugu wa huko?
Nimesikia biashara ya nguo za mtumba inalipa sana huko. Kama una uzoefu au unafahamu hali halisi ya biashara hiyo, naomba unipe taarifa.
Unaweza kunitumia ujumbe binafsi (DM). Nitashukuru sana.