Promenthous
JF-Expert Member
- Apr 2, 2013
- 357
- 445
Nadhani pia njia nyingine unaweza kuwa na database(sheet tabs) kwa kila site then ukawa na sheet moja ambayo ni dashboard(summary),hii itachukua information kutoka kwenye kila database/sheet,hapo itakuwa rahisi kulink taarifa unazozihitaji na hata ukiupate taarifa kwenye database pia kwenye summary itajiupdate, kumbuka sheet zote zinakuwa katika workbook mojaMkuu mambo vipi, swali langu ni kama ifuatavyo;
Nina watu 100 ambao ni casual labours, wanafanya site mbali mbali za ujenzi, na kila site ina bei yake ninayowalipa kwa kila atakaefanya kazi site husika
Sasa unakuta mtu mmoja kafanya kazi zaidi ya site tatu au nne naandaa sheet ambayo inakuwa na column zifuatazo /SN/NAME/DESCRIPTION/DAY/AMOUNT/NSSF/NET PAY
Sasa nataka formula ambayo kama mtu katokea zaidi ya site tatu au nne nikisha sort wakajipanga alphabetical, naiweka hiyo formula ambayo ina add amount zote za saiti alizofanya automatically. Msaada tafadhali
Whatever the case, unaweza ukaweka drop down au ukawa unatype pia..ina case kama utaweka drop down itabidi uweke dynamic formula ambapo drop down itakuwa inajiadd majina yenyewe kila unapoongeza data kwenye tableHapo ni bila kuweka drop-down list ya majina mkuu??
Hapo kazi itakuwa kubwa mkuu, na hizi ni monthly records, au unaweza nipa njia rahisi zaidi..???Nadhani pia njia nyingine unaweza kuwa na database(sheet tabs) kwa kila site then ukawa na sheet moja ambayo ni dashboard(summary),hii itachukua information kutoka kwenye kila database/sheet,hapo itakuwa rahisi kulink taarifa unazozihitaji na hata ukiupate taarifa kwenye database pia kwenye summary itajiupdate, kumbuka sheet zote zinakuwa katika workbook moja
$A$1:$A$100=C1,$B$1:$B$100=D1, ikiwa na zile(--) nikiwa nime-insert kwenye formula , hapo C1=Name na D1=AmountWhatever the case, unaweza ukaweka drop down au ukawa unatype pia..ina case kama utaweka drop down itabidi uweke dynamic formula ambapo drop down itakuwa inajiadd majina yenyewe kila unapoongeza data kwenye table
Umekosea, angalia comment no 815 nilivyotype$A$1:$A$100=C1,$B$1:$B$100=D1, ikiwa na zile(--) nikiwa nime-insert kwenye formula , hapo C1=Name na D1=Amount
Si hivo au???
Unganisha text na formula kwa kutumia alama &Wakuu na wataalamu wa Excel ,naomba kufahamishwa namna ya kupanga matokeo ya mtihani kama mfumo wa NECTA hasa pale wanapoandika DETAILED SUBJECTS. Mfano, CIV-'A' KISW-'A' HIST-'A' n.k
Nimeweka screen shot ya sample namna Baraza wanavyoweka.
Naomba msaada tafadhali.View attachment 2470399
Shukrani sana mkuu. Nitaifanyia kazi na kuleta mrejesho hapa hapa .IF(B2>=81,"A",
.....>=81
IF(B2>=61,"B"
...... AND(>=61,
Kuna range ya namba ili kuepuka kupoteza baadhi ya maksi inabidi kutambua lower na upper limits na kama zipo inclusive or otherwise.
Pamoja sana mkuu. Nitaifanyia kazi. Nashukuru sana.Unganisha text na formula kwa kutumia alama &
Mfano
="CIV- "&IF(B2>=81,"A",IF(B2>=61,"B",.........IF(B2>=0,"F")))))&" KISW- "&IF(C2>=81,"A",IF(C2>=61,"B",.........IF(C2>=0,"F")))))&" HIST- "&IF(D2>=81,"A",IF(D2>=61,"B",.........IF(D2>=0,"F"))))).......
Mkuu,vipi kama akitumia SUMIFS si inaweza kuwa rahisi zaidi kwake,najua SUMPRODUCT ni kwa Gurus[emoji1]Umekosea, angalia comment no 815 nilivyotype
Bado utahitaji kuwa na sheet au table ya summary,hizo record ni kama database,ili kupata jumla ya kila mtu ni lazima uwe na table ambayo itakuwa na majina ya casuals wote,bila kujirudia,then tumia formula aliyokupa Njuka au sumifs kupata amount ya kila casual, just simpleHapo kazi itakuwa kubwa mkuu, na hizi ni monthly records, au unaweza nipa njia rahisi zaidi..???
Kwenye hiyo hiyo sheet moja nifanyie hapo hapo nipate amount ya kila mmoja hivo ndo nataka
Kwani mi unanichukuliaje we jamaa...Mkuu,vipi kama akitumia SUMIFS si inaweza kuwa rahisi zaidi kwake,najua SUMPRODUCT ni kwa Gurus[emoji1]
Ndio anaweza akatumia SUMIF na ikaleta jibu moja, SUMPRODUCT ina ugumu gani kwani? Ukishajua mechanism yake haitakusumbua kwenye kuiapplyMkuu,vipi kama akitumia SUMIFS si inaweza kuwa rahisi zaidi kwake,najua SUMPRODUCT ni kwa Gurus[emoji1]
Mtaalam[emoji1],jaribu njia zote hizo ukiona sumproduct bado inasumbia tumia sumif mkuuKwani mi unanichukuliaje we jamaa...
Yah sumproduct ni nzuri na inamaajabu sana,lkn inahitaji kuielewa mechanism yake vizuri,ndio man is for the Gurus[emoji4]Ndio anaweza akatumia SUMIF na ikaleta jibu moja, SUMPRODUCT ina ugumu gani kwani? Ukishajua mechanism yake haitakusumbua kwenye kuiapply
Hata Vlookup, ningeitumia ningekopi hizo headings nikaziweka vertically nikainsert formula na kupata majibu baada ya kuwasort alphabeticallyMtaalam[emoji1],jaribu njia zote hizo ukiona sumproduct bado inasumbia tumia sumif mkuu
Na hii ndo naitaka, hata index match ingeweza hiyo task hapo juu wakiwa arranged alphabeticallyYah sumproduct ni nzuri na inamaajabu sana,lkn inahitaji kuielewa mechanism yake vizuri,ndio man is for the Gurus[emoji4]