Ktk VBA,kuna muda utahitaji uwe na basic za excel formulas hasa pale unapotaka kuandika VBA functions. Mfano kama hujui Vlookup ktk excel formula, na kule ktk uandishi wa codes za VBA function pia itakupa shida. Inakuwa ni mfano wa mtu anayetaka kufanya practical wakati hana theory ya hiyo practicalDuuh very helpfull mkuu at least kwa maneno hayo napata picha kwa mbaali khs coding maana hua sielewi hata nini kinafanyika.
Kuna sehemu nilikua napitia pitia kuhusiana na mambo ya VBA ndio nikaona watu wanabishana kama kujua coding ni muhimu kwa wanaojifunza au la.
So kuijua VBA ipasavyo ni lazima uwe unajua kutumia excel ipasavyo(no shortcut kwny hilo suala sio mkuu?
Sawa mkuu i appreciate,nimekusoma vyema.Ktk VBA,kuna muda utahitaji uwe na basic za excel formulas hasa pale unapotaka kuandika VBA functions. Mfano kama hujui Vlookup ktk excel formula, na kule ktk uandishi wa codes za VBA function pia itakupa shida. Inakuwa ni mfano wa mtu anayetaka kufanya practical wakati hana theory ya hiyo practical
Asante mkuuKama utakua una tatizo au task yoyote inayohusiana na excel, liweke hapa tusaidiane.
Nimeweka screen shot kwasababu ukiandika na kutuma,formula inajikata inakuja nusu View attachment 1070248
Excel ni pana mno mkuu,yaani kumuelezea mtu ambaye ni advanced user inakuwa ngumu kidogo labda ufanye comparison kati ya mtu na mtu ndipo unaweza conclude kwamba huyu ni very advanced kuliko huyu.
Coding sio ngumu mkuu,just upate basics zake tu. Nakupa mfano mmoja wa kukuonesha kwamba code sio ngumu kama inavyoogopwa.
Code ni kama ilivyo English,ktk english kuna nouns/objects,verbs na kadhalika na ktk codes pia iko na mtindo huo
Mfano ktk excel worksheet,cell,workbook n.k zote hizo ni objects na print,select,copy,clear n.k hizo ni verbs
Code ukitaka uielewe isome kuanzia kulia kwenda kushoto kama mas-hafu inavyosomwa.
Kati ya object na verb huwa tunatenganisha na alama ya dot/nukta(.)
Mfano nikitaka nifute range flani ya cells,nitainsert button then nitaziandika code hizi
Worksheets ("Sheet2"). Activate
Range("B6:J15"). Select
Selection.Clear
Soma code kutokea kulia kwenda kushoto, line ya kwanza inaactivate sheet2, line ya pili inaselect range yako unayotaka kuifuta na line ya tatu inaifuta range yako. Ni sawa tu na step unazozifanya manually.
Kama upo sheet5 na unataka ufute vitu vya sheet2 manually ni lazima tu utaanza kuclick sheet2 kwenye sheet tab then utaselect cells unazotaka kuzifuta na mwisho utaright click na kuclear contents(ni same na code lines tulivyozipanga hapo juu). Sasa kwa sababu action zote tumezistore kwenye code window basi tukiclick button yetu range inajifuta yenyewe.
Hii button unaweza ukaiweka hata kwenye sheet4(sheet yoyote) na ukiiclick inaenda kufuta data za sheet2 kama ulivyoicommand lakini kama hiyo button umeiweka ktk sheet2 na data unazotaka kufuta ziko sheet2,basi hiyo line ya kwanza ya code inakuwa ni optional (hata usipoiandika ,button itafanya kazi) Hapo ndo utaona kazi ya kuactivate.
| Product | Kg 1 | Kg 2 | Kg 3 |
| A | 20 | 15 | 25 |
| B | 15 | 25 | 35 |
| A | 20 | 10 | 15 |
| C | 35 | 50 | 20 |
| B | 20 | 40 | 30 |
Sijakuelewa mkuu, hizo namba ulizoandika ni kama zimeungana. Jaribu kutuma picha ya hizo data zinavyoonekana kwenye screen ya pcHabari Mkuu,
Nimtumiaji sana wa excel hasa formulas naomba ushauri kupata formula ambayo itasolve hii issue
Product Kg 1 Kg 2 Kg 3 A 20 15 25 B 15 25 35 A 20 10 15 C 35 50 20 B 20 40 30
Nataka formula ambayo itanipa Average Kg 1 & 3 Kwa product A , nimetumia hii lakini haijafaa
=AVERAGE(IF(a3:a5="A",b3:d5)) kama Array
Nikiitumia kwa Kg 1,2&3 inanipa jibu sahihi lakini nataka nipate average kwa Kg 1&3 tu
Asante,
Sijakuelewa mkuu, hizo namba ulizoandika ni kama zimeungana. Jaribu kutuma picha ya hizo data zinavyoonekana kwenye screen ya pc
Nafanya assumption kwamba column ya kwanza ni column A na hiyo A imeanzia kwenye A2, andika hii formula katika cell unayotaka upate averageOkay poa,niliweka table nadhani kwenye pc ingeonekana vizuri,nimeattach picha tayali mkuuView attachment 1177314
Hii itapanga tu majina alphabeticallyHapana mkuu.. hapo atakuwa amevuruga mpangilio... Anachotaka ni kumpanga mwanafunzi wa kwanza hadi wa mwisho .. hapo anatakiwa atumie RANK function kama nilivo eleza hapo juu..
Asante kwa upendo wako na kujaribu kutoa mawazo
I mean akisort A-Z haitampanga wakwanza hadi wa mwishoHii itapanga tu majina alphabetically
Kwa experience yangu excel ili kuijua vizuri inategemea na kazi ila ukitaka kuijua kitu kimojamoja asee ina mambo mengi kinyamaWakuu nifundisheni kuyumia excel sijui kabisa.
Kwa experience yangu excel ili kuijua vizuri inategemea na kazi ila ukitaka kuijua kitu kimojamoja asee ina mambo mengi kinyama
Dah kwaiyo mkuu mfano mimi nianzie wapi yani...Kwa experience yangu excel ili kuijua vizuri inategemea na kazi ila ukitaka kuijua kitu kimojamoja asee ina mambo mengi kinyama
Dah kwaiyo mkuu mfano mimi nianzie wapi yani...