Mimi mwenywe napata taabu mno, mtakuwa mmesaidia tukipeana utaalamu hapa.Wadau,
Kujua Excel Spreadsheets ni muhimu sana...
Tunaweza tukashirikishana tricks mbalimbali katika Excel hapa ili tujifunze wote..
Naomba kuwasilisha
Njoo upate hayo maujanja ofisini kwetu The Computer Skills (ComSkills), Makumbusho Business Complex, 2nd Floor kuanzia saa 2 asub mpka 2 usiku. You will not be disappointed. Call 0717718519Wadau,
Kujua Excel Spreadsheets ni muhimu sana...
Tunaweza tukashirikishana tricks mbalimbali katika Excel hapa ili tujifunze wote..
Naomba kuwasilisha
Nataka watu wote wafaidi hapa... Ndio maana nimeanzisha uzi... Mnaweza mkatoa hints hapa ili tujue umahiri wenu..Njoo upate hayo maujanja ofisini kwetu The Computer Skills (ComSkills), Makumbusho Business Complex, 2nd Floor kuanzia saa 2 asub mpka 2 usiku. You will not be disappointed. Call 0717718519
Mkuu mimi nataka kutengeza page ya excel nitayoweka total number ya items... na kila nikitoa item moja mfano ziko jumla 20 basi nikitoa moja ibaki 19 automatically...nikitoa ingine zibaki 18 hivyo hivyo mpaka ziishe. Na zikiisha inipe alert kwamba zimeisha au zinakaribia kuisha!!! Nipe mwongozo hapoNataka watu wote wafaidi hapa... Ndio maana nimeanzisha uzi... Mnaweza mkatoa hints hapa ili tujue umahiri wenu..
Binafsi nataka kuanza kufundisha hapa bure kabisa
Hivi ukiandika hapa unaonaje?Njoo upate hayo maujanja ofisini kwetu The Computer Skills (ComSkills), Makumbusho Business Complex, 2nd Floor kuanzia saa 2 asub mpka 2 usiku. You will not be disappointed. Call 0717718519
Asante Kwa Swali Lako Mkuu..Nataka kujua namna ya kuweka 00, mwanzo wa namba mfano nikitaka kuandika namba moja 1, ianze na 001, hivyo hivyo mpaka mwisho
Cell zilizopo katika Sheet Moja?Hivi ukiandika hapa unaonaje?
1. Tuanze na hili maana watu hawasemi nini shida....
Kwa mfano unataka kuunganisha maneno mawili yaliyopo kwenye cell mbili tofauti... kwa mfano
-saba kwenye cell moja,
-saba kwenye cell nyingine
Kama nimekuelewa vizuri,Hivi ukiandika hapa unaonaje?
1. Tuanze na hili maana watu hawasemi nini shida....
Kwa mfano unataka kuunganisha maneno mawili yaliyopo kwenye cell mbili tofauti... kwa mfano
-saba kwenye cell moja,
-saba kwenye cell nyingine
Highlight cell husika, then nenda kwenye filter then chagua A to ZNaomba kujulishwa jinsi ya kuandaa matokeo ya mtihani, jinsi ya kuwapanga wa mwanzo hadi mwisho kwa kuzingatia column ya JUMLA bila kuathiri mpangilio wa alama za masomo kwa kila somo.