Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 28,122
- 52,864
hapanaHivi ulimpata wa kufanya nae jogging?
kumbe eehHivi kuna wanapenda siku hizi? Mie najipenda mwenyewe tena sana sana tu. Huyo mwingine ni wa kunitoa upweke tu
kumbe eeh
sawa mkuu ,ila unawezaje ukafanyana na mtu humpendi? italoa kweli?Habari ndio hiyo hakuna wa kukupenda lile pendo haswa siku hizi. Tafuta wa kuongea naye, kufanyana naye kwa raha zako ukitoka hapo unajipenda mwenyewe!
unanipendea nini?miss mm nakupenda....will u be my valentine ? ila uwezo hyatt sina.. 22.4m per night hapana aise papuchi inipite tu.
sawa mkuu ,ila unawezaje ukafanyana na mtu humpendi? italoa kweli?
watu wapo busy na maisha yaoDuuuh wapendanao walisha pita siku hizi wapo wanao itwa uvumilivu
Kweli mkuuwatu wapo busy na maisha yao
Oh... Am humbled...To my love Asprin, the man I have chosen to love ❤️. Thank yuo for being part of my life.
I do promise to love you more tomorrow than yesterday