Azimio Jipya
JF-Expert Member
- Nov 27, 2007
- 3,362
- 1,131
Mwanakijiji that was good!!!!!TUPE NGUVU SUBIHANA!
Na. M. M. Mwanakijiji
Nakoma kusema sana, adui kadhamiria,
Mafisadi mtaona, kwani mmejitakia,
Nyuma haturudi tena, twailinda Tanzania,
Wa kijiji nimenena, pingu zawasubiria
Tupe nguvu Subihana, tuwashinde mafisadi!
Tulishasema na sasa tunarudia tena.
Tanzania ni Taifa tofauti na mataifa mengi kwa kuwa...Kuna Mbegu ya UTU iliyopandwa tangu enzi Taifa hili linaasisiwa.
Haijafa!
Ni upuuzi kufikiri imekufa na imetokomea kusiko julikana! No hizo sio tabia za UTU!!
It is still in the germination stage...!
Itachipua...! ...Itajitokeza na kuanza kupata mwanga wa jua...na utakomaa.
Maumivu ya kupenyaza tabaka la udongo na kujitokeza juu ya shamba na kuanza kukuwa hadi kuvuna mazao yake....ni maumivu makali but the seed is there!!
Itachipua na itaota...na itakomaa...regardless how this loooks very bad at certen time!!
Kuna majuha mafisadi..they dont have the vision to see all this ...ofcorse to our advantage...Wamekwisha...!!!!
Ni ushindi kwetu..na hakika watatupa ushindi usiokuwa umetegemewa.
Nguvu ya UTU WA MTU ...can not be estimated...its massive...its infinity...Utu haupimiki wala hicho kilicho ndani yake. NI UTUKUFU!!!! Its infity positive and powerfull to those who seek it earnestly!!
Ushindi upo..
Tunahitaji tu kuipalilia mbegu, kuimwagilia na kuiwajibikia....Unatakiwa uvumilivu usio wa kawaida...lakini kubwa zaidi ya yote ni MAONO na kujiamini kwenye msigano
But Utu wa Mtanzania ndio silaha na njia ya ushindi. ....Haujafa na Ukombozi waja.
Mungu tubariki katika kufikia tuendako na Ibariki tz.