Tupate burudani kidogo

Tupate burudani kidogo

Hi clip imeshatumwa humu na nilijibu kama ifuatavyo.

Hi clip imekatwa ,
Inaonyesha anapiga vita swala la ubakaji kwa watoto wadogo kama mtoto wa miaka saba au mtoto wa wakiume..
Hivyo kwenye maongezi hayo akaongelea mbona wanawake wako wengi tuu, hata yeye unaweza kumuomba akakupa.

Tusiwe na siasa maji taka kama hizi

Tuwasema ccm kwenye uchafu wao maana uko mwingi sana ila huu wakufosi kwa kukata vi clip sio sawa.
 
Back
Top Bottom