Tupac History

NAS1314

Member
Nov 29, 2017
19
7
Tupac Shakur

Tupac Amaru Shakur (16 Juni 1971 - 13 Septemba 1996) alikuwa mwigizaji, mwanaharakati wa haki za binadamu, na pia mwanamuziki maarufu wa muziki wa hip hop kutoka nchini Marekani. Anafahamika zaidi kwa jina lake la kisanii kama 2Pac. Ni mmoja kati ya wasanii wa hip hop waliouza rekodi nyingi za muziki dunia.

Tupac ShakurJina la kuzaliwaTupac Amaru ShakurPia anajulikana kama2Pac, Pac, Makaveli, MC New YorkAmezaliwa16 Juni 1971
East Harlem, Manhattan
New York City, New York, U.S.Amekufa13 Septemba 1996 (umri 25)
Las Vegas, Nevada, U.S.Kazi yakeRapper, mwigizaji, mtayarishaji wa rekodi, mshairi, mwandishi-skrini, mwanaharakati, mtunziMiaka ya kazi1988–1996StudioDeath Row, InterscopeAmeshirikiana naOutlawz, Thug Life, Danny Boy, Digital Underground, Dr. Dre, Johnny "J",Ice Cube, Nate Dogg, The Notorious B.I.G., Snoop DoggWavutiwww.2Pac.com

Huyu alikuwa mtoto wa Afeni Shakur, ambaye alikuwa mwanachama wa chama cha Black Panther Party. Mama yake Tupac alitolewa jela mwezi mmoja kabla ya kumzaa Tupac. Tupac alikufa mnamo tar. 13 Septemba katika mwaka wa 1996 baada ya kupigwa risasi akiwa anaendesha gari mjini Las Vegas, Nevada, siku saba kabla kifo chake.

Mara nyingi aliitwa 2Pac, Pac, Makaveli na pia mwenyewe akajiita The Don Kiluminati. Tupac, pia alishawahi kuishikiria Guinness World Record kwa kuwa na mauzo ya juu sana kwa msanii wa muziki wa rap/hip hop. Alipata mauzo takriban milioni 74 kwa hesabu ya dunia nzima na milioni 44 kwa mauzo ya Marekani pekee.

Yaliyomo

SanaaEdit

DiskografiaEdit

Makala kuu ya: Diskografia ya Tupac Shakur

Studio albamu zakeEdit

MwakaAlbamuNafasi iliyoshika
[1][2][3][4][5]Matunukio
[6][7][8]USUS R&BUSCAN19912Pacalypse Now6413Gold1993Strictly 4 My N.I.G.G.A.Z.244Platinum1995Me Against the World112× Platinum1996All Eyez on Me119× PlatinumPlatinum1996The Don Killuminati: The 7 Day Theory114× PlatinumGold

Albamu Zilizotolewa Akiwa KafaEdit

MwakaAlbamuNafasi iliyoshika
[9][10][5]Certifications
[6][6][8]USUS R&BUSCAN1997R U Still Down? (Remember Me)214× Platinum2001Until the End of Time113× Platinum2× Platinum2002Better Dayz512× Platinum3× Platinum2004Loyal to the Game11Platinum2006Pac's Life932010Shakurspeare[11]

FilamuEdit

MwakaJina la filamuJina alilotumiaMaelezo mengine1991Nothing But TroubleHimself(Brief appearance)1992JuiceBishopFirst starring role1992Drexell's ClassHimselfSeason 1: "Cruisin'"1993A Different WorldPiccoloSeason 6: "Homie, Don't You Know Me?"1993Poetic JusticeLuckyCo-starred with Janet Jackson1993In Living ColorHimselfSeason 5: "Ike Turner and Hooch"1994Above the RimBirdieCo-starred with Duane Martin1995Murder Was the Case: The MovieHimself(Uncredited)1996BulletTankReleased one month after Shakur's death1997Gridlock'dEzekiel 'Spoon' WhitmoreReleased several months after Shakur's death1997Gang RelatedDetective RodríguezShakur's last performance in a film2003Tupac: ResurrectionHimselfOfficial documentary film2008Live 2 TellHimselfExpected in 20082009NotoriousHimself (archive footage)Portrayed by Anthony Mackie2009Untitled Tupac Shakur BiopicHimself(Announced)[12]

Story writter:Dpac Mc
IMG_20180209_113452_977.jpeg
 

Attachments

  • IMG_20180209_113452_977.JPG
    IMG_20180209_113452_977.JPG
    138.7 KB · Views: 45

Similar Discussions

Back
Top Bottom