Mbona mnawafanya ivyo single mother?, wanakasoro gani, nao wana haki ya kupenda na kupendwa tena km wengine. Huwezi jua amepitia magumu mangapi mpk amekuwa ktk hali hiyo.
Usikute ata aliyesababisha yeye kuitwa ivyo ni mtu anayeitwa mwanaume, wanaoongoza kuwatenga wanawake wa aina hiyo. Fikiria km ndo angekuwa ndugu yko, sidhn km ungempondea ivyo. Na single father je, nao watengwe?, na ndiyo chanzo kikuu cha single mother na wtt wasio na baba mitaani.
Aisee, waache waoane.