Wengine wakiingia kazini ni kazi kazi, anakuwa online likini hayupo hapo!! Hawezi kujibu kila sms inayingia moja kwa moja
Pia wengine wanatumia mitandao kwa kazi na biashara, aache kufanya biashara ajadili mapenzi ni ngumu kidogo.
Hapo kwenye online status ndo pananiumaga ila huwa napotezea tu maana namwamini na nampenda na najua si mimi tu nnaechati nae.so huwa napotezea japo kinachoma huo ndo ukweli.
umeona eeeeeh
muhimu ni kumezea tu ukiona yuko online unapotezea au unaweza kumuanza wewe maaana ukianza kufikiria negative utajikondesha bureee
Hapo kwenye online status ndo pananiumaga ila huwa napotezea tu maana namwamini na nampenda na najua si mimi tu nnaechati nae.so huwa napotezea japo kinachoma huo ndo ukweli.
Inakuuma halafu unamuaminia ............!!!!!!!!
Inakuaje hii?
Hainiumi kwasababu anachati na wengine la hasha. Ni pale unaandika afu akujibu na unamuona yupo online. So kwakua nilishachoose kumuamini na kuwa mvumilivu na pia nachukulia ni moja ya majaribu na vikwazo kwenye mahusiano so napotezea tu vinginevyo ukilalamika sana utasikia nwanamke anagubu huyu.
Kuamini na kukuuma ni mambo yasiyoweza kukaa kwenye chungu kimoja
Kama unamuamini haiwezi kukuuma
Kama inakuuma huwezi kuwa unamuamini
Inakuuma kwakuwa unahisi kuna mtu anamfanya bize
Kitendo cha kuhisi hivyo ni ishara ya kutokumuamini
La sivyo kama unamuamini isingekuuma!
We ni mbishi sana ngoja ninyamaze nisijevunja ndoa yangu bure kwa kifupi ni kwamba nampenda thats all i care
Kama umeamua kujiridhisha na uongo sawa!